Category: Uncategorized

  • Na Vincent Mpepo, Dar es salaam

  • Na Vincent Mpepo, OUT IMEELEZWA kuwa baadhi ya sheria, taratibu na kanuni za manunuzi nchini ni kikwazo kinachokwamisha utelekezaji wa miradi kwa muda uliopangwa na kusababisha wananchi kutopata huduma kwa muda uliopangwa. Hayo yamebainishwa na Mratibu Mkuu wa Mradi wa Mageuzi ya kiuchumi, Profesa Deus Ngaruko katika siku ya pili ya kikao kazi cha siku…

  • Na Vincent Mpepo, Bagamoyo Mratibu wa Manunuzi, Daudi Sospeter akifafanua jambo wakati wa kikao kazi cha tatu cha tathimini ya maendeleo ya mradi wa magezi ya kiuchumi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kilichoanza leo Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. (Picha na Vincent Mpepo, OUT). Wanataaluma wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wametakiwa kufikiri namna bora…

  • Na Mwandishi Wetu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Pius Lutumo Leo 17 Februari 2024 ameshiriki kutoa elimu ya haki jinai katika Kanisa la Pentekoste Kibaha ikiwa ni sehemu ya elimu kwa jamii (ushirikishwaji jamii) katika kutatua  uhalifu na wahalifu. Kongamano hilo lililoandaliwa  na Pwani Pastors Network na Pastors Fellowship…

  • Na Vincent Mpepo, OUT-Songea Wakristo wametakiwa kuacha wivu kwa kuwa una matokeo mabaya yanayoweza kuleta atahari hasi na uharibufu katika jamii hivyo kutenda dhambi. Wito huo umetolewa na Padre Guntram Hongo wakati wa mahubiri siku ya Jumamosi katika Kanisa Katoliki, Kigango cha Nambehe Parokia ya Msalaba Mkuu Jimbo Kuu la Songea wakati wa ibada ya…

  • Na Vincent Mpepo, OUT Watanzania wametakiwa kujenga utaratibu wa kupima afya mara kwa mara ili kuwa na uhakika wa maendeleo kiafya badala ya kusubiri  vipimo wakati wa homa. Wito huo ulitolewa na Daktari Julius Mchelele kutoka Kliniki ya Path Labs wakati wa tukio la ufunguzi wa mbio za Marathoni lilioandaliwa na Umoja wa Vijana wa…

  • Na Vincent Mpepo, Morogoro Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania amewashukuru wafanyakazi wawakilishi wa idara za kitivo hicho na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya idara, kitivo na chuo kwa ujumla. Mtiva, Dunlop Ochieng alitoa kauli hiyo juzi Mjini Morogoro wakati akifungua kikao…

  • Na Vincent Mpepo, Morogoro Washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ) Usharika wa Mji Mpya Jimbo la Morogoro wametakiwa kuwa makini na wahubiri wanaojulikana kwa majina ya mitume na manabii kwa kuwa wakati mwingine siyo wote wana karama za uponyaji kama wanavyojinasibu. Tahadahari hiyo ilitolewa na Mchungaji wa KKKT Usharika wa Mji…

  • Na Vincent Mpepo, CKHT Wafanyakazi  wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wamekumbushwa kukamilsha ujazaji wa mfumo wa upimaji na ufuatiliaji wa malengo na shabaha ujulikanao kwa jina la PEPMIS leo 27/01/2024. Wito huo ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa chuo hicho, Francis Badundwa wakati wa mafunzo ya mafunzo ya uingizaji wa…

  • Na Vincent Mpepo, OUT Chuo kikuu Huria cha Tanzania kitaendelea kushirikiana na taasisi za elimu ya juu za ndani na nje ya nchi katika kuhakikisha kuwa kinaendeleza majukumu yake ya msingi ya ufundishaji,kufanya utafiti na huduma kwa jamii kwa maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Kitivo cha Sanaa…