Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)-Kimara wakati ikiimba  kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika Leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.Kituo hicho kinahamishwa kutoka maeneo ya Kijichi Dar es salaam amabko kwa sasa kuna changamoto za kimazingira kwenda Kitopeni Bagamoyo na kwamba kukamilika kwa kituo hicho kutasaidia watoto wengi zaidi kupata huduma.

Posted in

Leave a comment