Category: Uncategorized
-
Na Andrea Mbona, Haydom, Mbulu Wahitimu wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Haydom, mkoani Manyara, wametakiwa kutojiunga na makundi ya kihalifu na makundi rika ya mitaani yanayojihusisha na vitendo vya kihalifu kwa kuwa yatasababisha kuathiri ndoto zao za maisha. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Msaidizi cha Haydom, Mkaguzi Alex…
-
Na Pilastus Nyaulingo Katika jamii nyingi, mwanaume hukua akifundishwa kuwa imara, kuvumilia changamoto na kutokuonyesha udhaifu mbele ya wengine. Kauli kama “Wewe ni mwanaume,” “Usilie,” au “Vumilia tu” zimekuwa sehemu ya malezi ya wavulana na wanaume. Lakini nyuma ya maneno hayo kuna swali ambalo mara nyingi halizungumzwi: Mwanaume anapokuwa na maumivu, msongo au matatizo, anamweleza…
-
Na Mwandishi Wetu, Nachingwea – Lindi Wajasiriamali wa Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, wametakiwa kutumia kwa ufanisi mitaji wanayopewa na Halmashauri ili kufikia malengo yaliyokusudiwa na kukuza shughuli zao za kiuchumi. Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Bi. Stella Kategile, wakati wa mafunzo ya…
-
Na Juma John Elisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameapishwa rasmi kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Ndejembi ameapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake mapya kama Makamu wa Rais wa Jamhuri…
-
Na Pilastus Nyaulingo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za elimu kuhakikisha ubora wa elimu nchini unaendelea kuzingatiwa, akionya dhidi ya mfumo unaoweza kuwafanya wanafunzi kupata alama kubwa bila kuwa na uwezo na ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira. Dkt. Nchemba alitoa kauli hiyo leo wakati akifunga Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi…
-
Na Pilastus Nyaulingo Abiria wanaotumia Kituo cha Mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam wamelalamikia upungufu wa maeneo ya kukaa na msongamano katika vyoo, wakisema hali hiyo inawalazimu baadhi yao kusimama kwa muda mrefu au kukaa juu ya mizigo wakati wakisubiri mabasi yao. Malalamiko hayo yameibuka siku chache baada ya kituo hicho kuanza kupokea kwa…
-
Na Jastini Bukebuke, Geita Mwanamke maarufu kwa jina la Mwinjilisti amewashangaza washiriki wa uzinduzi wa Geita Polisi Jamii Jogging Club uliofanyika jana katika Uwanja wa Kalangalala, Manispaa ya Geita, baada ya kushiriki kikamilifu katika mazoezi ya jogging licha ya umri wake mkubwa. Ushiriki wake ulimvutia Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela, ambaye alimpongeza na…
-
Na George Gabriel Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Christopher Edward Magala, ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) wilayani humo kubuni na kutekeleza miradi itakayowawezesha kujitegemea kifedha badala ya kutegemea fedha za wafadhili pekee. Magala alitoa wito huo hivi karibuni wakati akifungua Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya…
-
Na Pilastus Nyaulingo Kampuni ya Yas Tanzania imezindua huduma ya Yas Fiber jijini Dodoma, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa intaneti ya kasi kwa kaya, wafanyabiashara na taasisi katika mji unaoendelea kukua kwa kasi. Huduma hiyo ya nyuzi-optiki kwa sasa inapatikana katika maeneo ya Ilazo, Ipagala, Swaswa, Mjini Kati na Barabara za Namba, huku kampuni hiyo…