


Chuo cha serikali za mitaa warejea na makombe saba (7) na medali za kutosha katika mashindano ya SHIMIVUTA 2025 yaliotamatika 22 Disemba, 2025 mkoani Tabora. Makombe hayo ni pamoja na kombe la mpira wa pete (mshindi wa kwanza) na kwa wanaume ( mshindi wa pili) kombe la mpira wa mikono kwa wanawake (mshindi wa tatu), kombe la kukimbia na gunia kwa wanaume (mshindi wa tatu), ‘pool table’ kwa wanawake (mshindi wa kwanza) na kombe la draft kwa wanawake (mshindi wa pili). (Picha zote na Farida Mkumba, Tabora).
Leave a comment