Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
Category: Uncategorized
-
Mwezeshaji kutoka Umoja wa Maabara Tanzania, Kezia Mbwambo akifafanua jambo kuhusu mifumo ya ubora kwa wataalam wa maabara kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye mafunzo yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar es Salaam. Na Okello Thomas Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imetoa…
-
Na Mwandishi Wetu, Nachingwea Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamedi Hassani Moyo amewataka madiwani wa Halmashauri za Ruangwa na Mtama kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia wananchi na kufuata kanununi na taratibu za uongozi. Moyo alisema hayo wakati akifungua mafunzo elekezi yenye lengo la kuwajengea uwezo katika Nyanja za uongozi, usimamizi na uwajibikaji katika kuwatumikia wananchi…
-
Na Farida Mkumba Wataalamu mbalimbali wa Bajeti kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa wamekutana Jijini Dodoma na kufanya mapitio ya mpango mkakati wa Chuo hicho kuanzia 2026 hadi 2031. Mafunzo hayo ya siku tano kuanzia Tarehe 06 hadi 09 Januari, 2026 yametolewa na Kurugenzi ya Mipango ya Mipango ya Chuo hicho ili kuwapa uelewa mpana…
-
Na Tabia Mchakama, Zanzibar Serikali imeitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kuendelea kusimamia kikamilifu upatikanaji wa huduma za bima nchini hususani zinazowahusu wageni kutoka nje ili kuboresha huduma hiyo na kuendelea kuvutia wawekezaji, watalii na wafanyabiashara kwa maslahi ya taifa. Maelekekezo hayo yalitolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa…
-
By Alvar Mwakyusa The Tanzania Revenue Authority (TRA) has recorded an unprecedented revenue performance in the first half of the 2025/26 financial year after collecting Sh18.77 trillion between July and December 2025, surpassing its target by more than 3.7 per cent. The collections reflect a growth of 13.6 per cent compared to Sh16.52 trillion collected…