Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- TAKUKURU Kuendelea Kufuatilia, Kuthibiti Matumizi Fedha za Miradi ya Serikali
- BARIKIWA NA NYIMBO ZA KWARESMA
- Kukamilika Soko la Samaki Kutaibua Fursa za Uchumi, Ajira kwa Wananchi
- DC Moyo Agawa Miche ya Mikorosho kwa Wakulima Nachingwea
- Mt. Kizito Makuburi – Buriani Baba Pengo (Official Music Video)
about
Category: Uncategorized
-
Na Mwandishi Wetu Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayesimamia Uhimilivu wa Kifedha na Uendeshaji wa Sekta ya Fedha, Sauda Msemo amesema sekta ya fedha nchini inapaswa kuendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia duniani ili kulinda usalama wa kiuchumi na kuchochea maendeleo. Msemo alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es…
-
Na Issa Mwandagala, Songwe Askari wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Songwe wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii kwa kuzingatia maadili ya kazi wakati wakitekeleza majukumu yao ya kusimamia sheria za usalama barabarani ili kuendelea kujenga taswira nzuri kwa Jeshi la Polisi. Hayo yameelezwa Leo na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe,…
-
Na Mwandishi Wetu Wito umetolewa kwa taifa na jumuiya za kimataifa kuchukua hatua za haraka kudhibiti ongezeko la taka za plastiki ambazo ni miongoni mwa changamoto kubwa za kimazingira zinazoikumba dunia kwa sasa. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyoambatana na usafi wa mazingira na yaliyoandaliwa na Shirika…
-
Na Gabriel Msumeno, Pwani Timu ya madaktari bingwa chini ya mpango maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan imewasili mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Mratibu wa timu hiyo kutoka Wizara ya Afya, Joachim Masunga amesema ujio wa madaktari hao…
-
Na Issa Mwandagala Wazazi na walezi Mkoani Songwe wametakiwa kutoruhusu watoto wenye jinsi tofauti kulala katika chumba kimoja kwani ndio chanzo cha mmonyoko wa maadili kwani wengi huanza kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama…