Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- TAKUKURU Kuendelea Kufuatilia, Kuthibiti Matumizi Fedha za Miradi ya Serikali
- BARIKIWA NA NYIMBO ZA KWARESMA
- Kukamilika Soko la Samaki Kutaibua Fursa za Uchumi, Ajira kwa Wananchi
- DC Moyo Agawa Miche ya Mikorosho kwa Wakulima Nachingwea
- Mt. Kizito Makuburi – Buriani Baba Pengo (Official Music Video)
about
Category: Uncategorized
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)-Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika Leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.Kituo hicho…
-
Na Vincent Mpepo, Dodoma Washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamekumbushwa kuendelea kumtolea Mungu kwa hiari kwani matendo ya utoaji yana baraka na Mungu hupendezwa na wenye moyo wa shukrani. Akihubiri wakati wa ibada ya kwanza jijini Dodoma katika Usharika wa Kanisa Kuu, Mchungaji Kiongozi wa KKKT Usharika wa Kisamo, Jimbo la…
-
Madereva wa Serikali Wakumbshwa Nidhamu Barabarani Na Issa Mwandagala, Songwe Madereva wa magari ya serikali pamoja na taasisi za umma Mkoani Songwe wamekumbushwa kuwa na nidhamu na kuzingatia sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuwashauri wa viongozi wanaowaendesha ili kupunguza ajali zinazoweza kuepukika ikiwa pamoja na kulinda usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Rai…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dadi Kolimba amewapongeza watumishi wa Bandari ya Tanga na kuwataka waendelee kufanya kazi kwa bidii ili kuunga mkono juhudi za serikali katika uwekezaji mkubwa uliofanyika katika bandari hiyo. Kolimba alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea na kukagua banda la Bandari ya Tanga kwenye maonesho ya 12…
-
Na Stella Ngenje-Mlete Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania -Tanesco Mkoani Ruvuma imeanza kulipa fidia kwa wananchi waliopisha maeneo yao kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa gridi ya taifa ya Msongo wa 220KV kutoka Songea hadi Tunduru ambapo zaidi ya wananchi 200 watanufaika na fidia hiyo. Wanufaika wa…
-
By Vincent Mpepo African countries have been called upon to work together instead of acting alone in the fight against poverty and exploitation. This cooperation would help fulfill the dreams of Africa’s founding leaders, such as Mwalimu Julius Nyerere and Nelson Mandela. This call was made during an academic forum held yesterday at Johari Rotana…
-
Issa Mwandagala, Songwe Madereva wanaosafirisha abiria na mizigo kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Songwe wametakiwa kufuata sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa za madereva wenzao wazembe ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Songwe,…
-
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akizungumza na wadau wa kemikali bashirifu zaidi ya 40 wakati akifungua kikao cha wadau wa Kemikali Bashirifu na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam, Mei 28, 2025. Na Okello Thomas Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa…
-
By Vincent Mpepo The Open University of Tanzania (OUT) will launch a Bachelor’s programme in Records and Archives Management starting from the 2025/2026 academic year after fulfilling the requirements set by the Tanzania Commission for Universities (TCU). Speaking during a stakeholders’ engagement workshop held today on the programme in Kinondoni- Dar es salaam, Assistant Lecturer…
-
Wadau wa Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu katika picha ya pamoja leo wakati wa warsha ya mapitio ya Mtaala wa Shahada ya Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu iliyifanyika leo jijini Dar es salaam na kuhusisha wanataaluma, waanafunzi, wahitimu, waajiri, vyama vya kitaaluma na wafanyakazi katika kada hiyo katika sekta za umma na binafsi. Na Vincent…