Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- DC Bura Afunga Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi kwa Washiriki 1,001 Geita
- Burudika na Nyimbo za Ekaristi Takatifu
- Sungusungu Watahadharishwa Kutojichukulia Sheria Mkononi
- Serikali Yaingia Makubaliano na DIT Kuimarisha Usimamizi wa Maafa
- Waziri Kombo Akutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania Nchini Korea
about
Category: Uncategorized
-
Na Mack Francis-Arusha Wananchi wa Mkoa wa Arusha jana Jumamosi Agosti 23, 2025 wamejumuika pamoja kushiriki kwenye Mbio za pamoja na mazoezi ya viungo, ikiwa ni siku ya Kilele cha Tukio la Tanzania Samia Connect, linalofanyika Mkoani Arusha kuelezea mafanikio yaliyopatikana Mkoani Arusha katika Kipindi cha Miaka minne ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu…
-
Na Sylvester Richard Afisa Polisi Jamii Mkoa wa Singida, ACP Richard Mwaisemba amewataka wananchi wa Kata ya Makanda, Wilaya ya Manyoni, kuitii sheria na kanuni za uchaguzi mkuu 2025 bila kushurutishwa ili kulinda amani na usalama katika maeneo yao. Akihitimisha mafunzo ya Polisi Jamii kwa vijana 32 wa kijiji cha Magasai, ACP Mwaisemba amesisitiza umuhimu…
-
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watumishi wa Hazina ndogo mkoani Kigoma kufanya kazi kwa bidii, maarifa, weledi na kuzingatia kanuni katika majukumu yao. Wito huo aliutoa wakati wa mazungumzo na watumishi hao alipotembelea Mkoa huo hivi karibuni ambapo alipata fursa ya kuzungumza na watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…
-
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tazania anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Josiah Katani ni miongoni mwa waliofika katika zoezi la upimaji afya mapema jana. Anayeonekana nyuma yake ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Francis Badundwa na Profesa Cosmas Mnyanyi. (Picha kwa hisani ya Dkt.…
-
Na Mack Francis-Arusha Mkuu wa mkoa Arusha Kenani Kihongosi mapema wiki hii aliwaongoza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano…
-
Na Damasi Kalembwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Acp Pili Misungwi amekabidhi pikipiki mbili kwa watendaji wa dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Kimara na Kinondoni. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika kituo cha Polisi Oystebay ambapo yamehudhuriwa na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali Mkoa wa kinondoni. Watendaji wa dawati la jinsia…
-
Na Sylvester Onesmo-Dodoma Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ameahidi iwapo atapewa ridhaa na watanzania kuiongoza nchi, serikali yake itahakikisha wafanyakazi wanajengewa nyumba wakiwa bado kazini ili kuondoa hofu ya maisha magumu baada ya kustaafu. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais akiwa na Mgombea mwenza Masoud Ali bdallah katika…
-
Na Damasi Kalembwe Mkuu wa Ushirikishwaji wa Jamii Mkoa wa Kinondoni, ACP Ally Wendo amezindua kituo cha polisi kinachohamishika cha Kuzidi maeneo ya Goba, Kinzudi jijini Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika juzi na ulihudhuriwa na maafisa wa jeshi hilo, wakaguzi, askari wa vyeo mbalimbali, viongozi wa serikali ya mtaa na wananchi wa mtaa huo. Katika uzinduzi huo,…