Category: Uncategorized

  • Na Vincent Mpepo Watalaamu wa lugha wameonya kuwa sera za lugha zinazotumika katika nchi nyingi za Afrika zimekuwa kikwazo kikubwa kwa ustawi na uhai wa lugha za asili na lugha mama. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mhadhiri Mwanndamizi, Dunlop Ochieng jana wakati…

  • Tofauti kati ya Mzigo na Kifurushi SGR

  • By Vincent Mpepo Language policies in many African countries are posing a serious threat to the survival and development of local and indigenous languages. Speaking during the opening of a two-day academic engagement at the Open University of Tanzania (OUT) headquarters in Kinondoni, Dar es Salaam, Dean of the Faculty of Arts and Social Sciences,…

  • Serikali imesema kupatikana kwa vifaa vya utafiti wa maji chini ya ardhi kuongeze tija katika masuala ya tafiti ili maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji yapate huduma hiyo muhimu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kwa wataalamu wa Mabonde na wakati wa kukabidhi vifaa vya kisasa vya utafiti…

  • Na Farida Mkumba, Dodoma Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) kimeendesha mafunzo maalumu kwa watumishi wake kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kuongeza ufanisi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Mafunzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Maktaba ya Chuo, Kampasi Kuu Hombolo, yakiwahusisha watumishi kutoka Kampasi ya Hombolo na ile ya Dodoma…

  • By Vincent Mpepo It is always reassuring to receive information from a credible authority something the field of journalism heavily relies on to ensure accuracy and public trust. Similarly, academicians are entrusted with this responsibility, as they are recognized experts in their respective fields of study. Their specialized knowledge, acquired through years of academic pursuit,…

  • Na Vincent Mpepo Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi), wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wameungana na wenzao duniani kuelezea matarajio yao kwa serikali na uongozi wa chuo huku wakitegemea maboresho kwenye mazingira bora ya kazi. Akizungumza na Mwandishi wetu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Habari na Masomo ya Ukutubi chuoni…

  • Na Vincent Mpepo Vyombo vya habari vya runinga nchini vimetakiwa kuajiri wakalimani wa lugha ya alama wanaotambua wajibu wao katika kazi ya ukalimani ili kuepusha upotoshaji wa maudhui ya taarifa wazitoazo kwa kufahamu au kutofahamu hivyo kuathiri upatikanaji wa tafsiri sahihi kwa jamii ya viziwi. Hayo yamebanika katika semina ya siku moja ya kujenga uelewa…

  • Viziwi Hupenda Kuitwa Hivyo Badala ya Wasiosikia Na Vincent Mpepo         Imebainika kuwa jamii ya viziwi wanapenda kuitwa viziwi badala ya kuitwa wasiosikia au namna nyingine kwa kuwa majina mengine kuwarejelea wao huwa na maana zenye ukakasi na wakati mwingine kuwa na maana mbaya kitu ambacho si sawa. Hayo yamebanishwa na Mkufunzi wa Chuo Cha Ualimu…