Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- Polisi Washiriki Mazoezi Maalumu Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sikoseli Duniani
- DC Bura Afunga Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi kwa Washiriki 1,001 Geita
- Burudika na Nyimbo za Ekaristi Takatifu
- Sungusungu Watahadharishwa Kutojichukulia Sheria Mkononi
- Serikali Yaingia Makubaliano na DIT Kuimarisha Usimamizi wa Maafa
about
Category: Uncategorized
-
By Vincent Mpepo The Open University of Tanzania (OUT) has conducted training on awareness and understanding of Sign Language for its frontline administrative staff who interact directly with clients, including people with hearing impairments, with the goal of improving communication and service delivery. Speaking at the official opening of the training held recently in Dar…
-
Na Vincent Mpepo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kimeendesha mafunzo ya uelewa na utambuzi wa Lugha ya Alama kwa watumishi waendeshaji wanaohusika moja kwa moja na utoaji wa huduma kwa wateja ikiwemo viziwi ili kurahisisha mawasiliano na utoaji wa huduma. Akifungua mafunzo hayo juzi jijini Dar es salaam, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Teknolojia za…
-
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Pengo, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Thomas More Mbezi Beach, Jimbo kuu la Dar es salaam, Padre Aidan Mubezi na watoto waliopata sakramenti ya Kipaimara Siku ya Jumamosi jijini Dar es salaam mara baada ya adhimisho la misa takatifu ya kipaimara Parikiani hapo, (Picha na Francis Mpepo). Na…
-
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watafiti na wataalamu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kufanya upembuzi yakinifu ili kubaini mahitaji halisi ya huduma za afya nchini. Waziri Mkuu Majaliwa alitoa kauli hiyo juzi wakati wa kongamano la 13 la kisayansi la chuo hicho lililofanyika kwa siku mbili juzi…
-
Na Vincent Mpepo Imeelezwa kuwa matatizo mengi wayapatayo wakristo katika jamii muda mwingine ni kutokana na kiburi au kupuuzia sauti ya Roho Mtakatifu ndani yao wanapofanya maamuzi katika masuala mbalimbali. Hayo yameelezwa jana na Mwinjilisti, Thomas Mwakatobe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Usharika wa Buguruni wakati akihuburi katika ibada ya Siku ya Bwana…
-
https://www.facebook.com/share/v/1CXjBTHL5p