Category: Uncategorized

  • Na Vincent Mpepo, Kwembe Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kimewataka Wananchi wa Kwembe na maeneo jirani kuchangamkia fursa ya kambi maalumu ya kupima afya bure ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa Elimu ya Juu kwa mageuzi ya kichumi (HEET). Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kwembe…

  • Na Vincent Mpepo, Kwembe Wataalamu mbalimbali wanaoishi na kufanya kazi katika Mtaa wa Kwembe Ubungo Jijini Dar es salaam wamebainisha fursa na changamoto mbalimbali za kimaendeleo katika Mtaa huo huku huduma za jamii na miundombinu zikitajwa. Hayo yamejitokeza katika mkutano wa kwanza wa serikali ya Mtaa uliofanyika jana katika ofisi za mtaa huo jana huku…

  • Na Vincent Mpepo, Kwembe Eneo ambalo lililopangwa kutumika kama soko limebadilishwa matumizi na kuwa machinjio na mnada wa mifungo kitu kinachotajwa kitaongeza idadi ya wasafiri kuja na kutoka mtaani hapo na kuchochea maenedeleo ya Mtaa wa Kwembe Ubungo jijini Dar es salaam. Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kwembe Rajabu Koba wakati wa mkutano…

  • Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Mhandisi. Charles Sangweni (kushoto). Kulia ni Katibu wa Baraza Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli ( PURA) Ebeneza Mollel wakati wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika…

  • Mwalimu Bupe Mwabenga akifundisha  wakati ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kwembe jijijini Dar es salaam Na Vincent Mpepo, Kwembe Wanandoa wamekumbushwa kuishi kwa kadiri ya mpango wa maagizo ya Mungu ili kuepuka migogoro inayotokana na mwingiliano wa majukumu kati yao. Wito huo umetolewa Jumapili  na Mwalimu Bupe…

  • Na Vincent Mpepo, Kwembe Vijana wa kike na kiume nchini wametakiwa kujishughulisha na kuzalisha kipato kitakachowasidia hata kama hawakupata ajira kwenye mifumo rasmi iwe serikalini au sekta binafsi. Wito huo umetolewa na Mwalimu Bupe Mwabenga wakati akihubiri katika ibada siku ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kwembe na kusisitiza…

  • Na Tabia Ally, DSM Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) itashirikiana na Jeshi la Polisi Tanzania katika utekelezaji wa mikakati ya kuimarisha usalama barabarani ili kupunguza ajali. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda SACP William Mkonda katika Ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA)…

  • Na Martha Joachim,Tanga Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi, Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa utendaji kazi madhubuti katika usimamizi wa sheria na kanuni za usalama, ulinzi na utunzaji mazingira  wa usafiri majini. Pongezi hizo zimetolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Yahya Rashid…

  • Na Ruth Kyelula, Mbulu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo amewataka madiwani na  wakuu wa idara kushirikiana ili kuhakikisha wanafunzi wanaripoti shule kabla ya muda uliopangwa kuisha. Mandoo aliyasema hayo wakati akifungua baraza la madiwani katika robo ya pili ya Octoba-Desemba 2024/2025 iliyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa halmashauri ya Wilaya hiyo…