Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- TARURA Yawahakikishia Wananchi Kukamilika kwa Barabara ya TRA–King’ong’o
- Tanzania, Msumbiji Zaimarisha Ushirikiano wa Usalama Mipakani
- Bandari ya Tanga Yavutia Viongozi wa Temeke kwa Fursa za Uwekezaji
- Polisi Washiriki Mazoezi Maalumu Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sikoseli Duniani
- DC Bura Afunga Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi kwa Washiriki 1,001 Geita
about
Category: Uncategorized
-
Na Vincent Mpepo Kwa kawaida tumesikia ikizungumzwa kuwa afya bora ndio mtaji wa kwanza. Kauli hii inaangazia umuhimu wa kuwa na afya njema kwani ndiyo inakuwezesha kufanya mambo mengine ikwemo kufanya kazi au shughuli ambayo itakuingizia kipato. Kutokuwa na afya njema husababisha mambo mengi kutoenda vyema au kukwama kwa masuala mbalimbali ikiwemo shughuli za uzalishaji,…
-
Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshiriki mahafali ya 41 ya Kidato cha sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani na kuelezea nia yake ya kuendelea kushirikiana na shule hiyo kongwe. Akizungumza katika mahafali hayo kwa niaba ya Kamishna wa Bima Tanzania, Meneja wa TIRA Kanda ya Mashariki, Zakaria Muyengi…
-
Na Gabriel Msumeno Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mkoa wa Pwani wametakiwa kuweka mikakati ya kuimarisha maadili kwa watoto shuleni. Wito huo umetolewa April 23 na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala alipokuwa akifungua mkutano mkuu CWT Mkoa wa Pwani uliofanyika mjini Kibaha. Twamala aliwataka walimu kutafakari namna bora za kuwafundisha…
-
Na Gabriel Msumeno Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkuranga Omary Mwanga amewataka wakazi wa Wilaya hiyo kuongeza thamani ya mazao ya nyuki ili kuwa bidhaa bora ambazo zitakuwa na tija katika kukuza uchumi wao. Wito huo aliutoa hivi karibuni wakati wa maadhimisho ya siku ya nyuki yaliyofanyika Wilayani humo na kuhusisha vikundi mbalimbali vya wafugaji…
-
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Elifas Bisanda akiongea na wafanyakazi na wanafunzi wakati wa ufunguzi wa kambi ya siku mbili ya upimaji wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa iliyoanza Leo chuni hapo. Kulia kwake ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho anayeshughulikia mipango, fedha na utawala, Pfofesa Josiah Katani akifuatiwa na Mkurugezi wa…
-
Picha kwa msaada wa Akili Mnemba
-
Na Farida Mkumba, Dodoma Ofisi ya Rais – TAMISEMI imeomba Shilingi trilioni 11.78 kwa matumizi ya mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hutuba aliyoisoma Leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa alibainisha kuwa Trilioni 3.95 zitakwenda kwenye miradi ya maendeleo, na Trilioni 7.84 ni kwa ajili ya matumizi ya…
-
Na Tabia Mchakama Wanawake TIRA wamejumuika na Wanawake wengine kutoka sekta ya Fedha Tanzania kushiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka ulioandaliwa na jumuiya yao (TAWiFA) ambapo DKt. Doto Biteko alikua Mgeni Rasmi. Akisoma hotuba yake Mhe. Biteko alisisitiza juu ya elimu ya fedha kwa wanawake wa vijijini ili waepukane na mikopo umiza inayosababisha kuchukuliwa baadhi ya…