Category: Uncategorized
-
Na Ruth Kyelula, Mbulu DC Viongozi wa serikali za mitaa ikiwemo watendaji na wenyeviti wa vijiji, kata na mitaa wametakiwa kutoa ushirikiano kwa shirika la UCRT linalotekeleza mradi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi vijinini. Hayo yalisemwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbulu, Paulo Bura kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mbulu…
-
Na Mwandishi Wetu Sehemu ya washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoani Arusha ‘Arusha Women in Media’ katika picha za pamoja katika ukumbi na viwanja vya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyofanyika hivi karibuni. Waandishi wa habari wanawake mkoa wa Arusha wametakiwa kuchangamkia fursa kwa kujiunga na chama cha waandishi…
-
Waandishi wa Habari wanawake wameshauriwa kuungana na kutumia fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali ili waweze kujikwamua kiuchumi jambo ambalo litawasaidia kuwa na kipato mbadala na kuondokana na utegemezi wa kazi moja. Mwenyekiti wa umoja wa waandishi wa Habari mkoa wa Arusha Jamillah Omar ametoa wito huo wakati wa uzinduzi wa chama hicho cha ARUSHA WOMEN…
-
By Vincent Mpepo, OUT The Eastern Africa Regional Early Childhood Conference will start on 11th to 14th Mach, 2024 at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam and will involve participants from Tanzania and outside Tanzania. According to the information from the organizers’ website, this years’ conference theme is ‘Investing in Early Childhood:…
-
Na Vincent Mpepo, Dar es salaam
-
Na Vincent Mpepo, OUT IMEELEZWA kuwa baadhi ya sheria, taratibu na kanuni za manunuzi nchini ni kikwazo kinachokwamisha utelekezaji wa miradi kwa muda uliopangwa na kusababisha wananchi kutopata huduma kwa muda uliopangwa. Hayo yamebainishwa na Mratibu Mkuu wa Mradi wa Mageuzi ya kiuchumi, Profesa Deus Ngaruko katika siku ya pili ya kikao kazi cha siku…
-
Na Vincent Mpepo, Bagamoyo Mratibu wa Manunuzi, Daudi Sospeter akifafanua jambo wakati wa kikao kazi cha tatu cha tathimini ya maendeleo ya mradi wa magezi ya kiuchumi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kilichoanza leo Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. (Picha na Vincent Mpepo, OUT). Wanataaluma wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wametakiwa kufikiri namna bora…
-
Na Mwandishi Wetu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Pius Lutumo Leo 17 Februari 2024 ameshiriki kutoa elimu ya haki jinai katika Kanisa la Pentekoste Kibaha ikiwa ni sehemu ya elimu kwa jamii (ushirikishwaji jamii) katika kutatua uhalifu na wahalifu. Kongamano hilo lililoandaliwa na Pwani Pastors Network na Pastors Fellowship…
-
Na Vincent Mpepo, OUT-Songea Wakristo wametakiwa kuacha wivu kwa kuwa una matokeo mabaya yanayoweza kuleta atahari hasi na uharibufu katika jamii hivyo kutenda dhambi. Wito huo umetolewa na Padre Guntram Hongo wakati wa mahubiri siku ya Jumamosi katika Kanisa Katoliki, Kigango cha Nambehe Parokia ya Msalaba Mkuu Jimbo Kuu la Songea wakati wa ibada ya…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Watanzania wametakiwa kujenga utaratibu wa kupima afya mara kwa mara ili kuwa na uhakika wa maendeleo kiafya badala ya kusubiri vipimo wakati wa homa. Wito huo ulitolewa na Daktari Julius Mchelele kutoka Kliniki ya Path Labs wakati wa tukio la ufunguzi wa mbio za Marathoni lilioandaliwa na Umoja wa Vijana wa…