Kulia ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Iramba SSP Brainer Robert akiteta Jambo na Muuguzi Mfawidhi Hospitali ya Wilaya ya Mkalama, Wilson Augustin (katikati) muda mfupi baada ya kupoke msaada uliotolewa na Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wanawake (TPF NET) Mkoa wa Singida katika Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambapo wametoa msaada kwa wahitaji kwenye hospitali ya Wilaya Mkalama.

Pichani ni Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wanawake (TPF NET) Mkoa wa Singida wakijiandaa kwenda Wilaya ya Mkalama katika Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa lengo la kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wahitaji katika hospitali ya Wilaya Mkalama tarehe 03/12/2025.

Posted in

One response to “HABARI PICHA”

  1. Sylvester Machibya avatar
    Sylvester Machibya

    Hongera kwa Askari wanawake Mkoa wa Singida kwa majitoleo yenu. Mungu atawaongezea pale mlipotoa mara mbili zaidi

    Like

Leave a reply to Sylvester Machibya Cancel reply