Category: Uncategorized

  • Na Mwandishi Wetu Mtangazaji mstaafu wa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Edda Sanga, ameelezea kukerwa na utangazaji wa mzaha na ucheshi unaovunja miiko ya tasnia hiyo kwa kuwa madai kuwa studio ni eneo la kuheshimiwa sio kupiga kelele au kurushiana maneno. Sanga alitoa kauli hiyo jana wakati wa mafunzo kwa watangazaji chipukizi kutoka vyuo…

  • Na Vincent Mpepo Watangazaji wakongwe wa iliyokuwa Redio Tanzania Dar es salaam (RTD) ambayo kwa sasa ni sehemu ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wametumia siku ya maadhimisho ya miaka 74 ya utangazaji Tanzania kubalishana uzoefu na waandishi wa habari watangazaji chipukizi ili kuhakikisha wanarithisha amali njema katika tasnia ya hiyo. Wakizungumza wakati wa mafunzo…

  • Na Vincent Mpepo Wanawake walio kwenye ndoa wametakiwa kuwasaidia waume zao katika majukumu ya kifamilia kwa kufanya kazi badala ya kuwa wategemezi na walalamishi ili kuwapunguzia msongo wa mawazo na vifo waume zao. Kauli hiyo imetolewa jana na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania (KKKT), Ismail Mwipile wa Usharika wa Segerea jijini Dar…

  • Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshuhudia ulipwaji wa fidia kwa Bi. Bahati Ngowi kufuatia kufuatia kifo cha mume wake Profesa Ngowi aliyepata ajali ya gari maeneo ya Mlandizi Kibaha mkoani Pwani tarehe 28 Machi 2022. Akishuhudia tukio hilo Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware alizitaka…

  • Kwaya ya watoto wa shule ya Jumapili wakihudumu katika ibada SiKu ya Jumapili (picha na Vincent Mpepo). Na Vincent Mpepo Mtenda Kazi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Anna Mauki amewataka washarika wa kanisa hilo kuona fahari ya umoja wa makanisa yaliyoungana na kuwa kanisa moja kwa kuwa ndani yake kuna mafanikio mengi.…

  • By Vincent Mpepo The Open University of Tanzania (OUT) has conducted training on awareness and understanding of Sign Language for its frontline administrative staff who interact directly with clients, including people with hearing impairments, with the goal of improving communication and service delivery. Speaking at the official opening of the training held recently in Dar…

  • Na Vincent Mpepo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kimeendesha mafunzo ya uelewa na utambuzi wa Lugha ya Alama kwa watumishi waendeshaji wanaohusika moja kwa moja na utoaji wa huduma kwa wateja ikiwemo viziwi ili kurahisisha mawasiliano na utoaji wa huduma. Akifungua mafunzo hayo juzi jijini Dar es salaam, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Teknolojia za…

  • Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Pengo, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Thomas More Mbezi Beach, Jimbo kuu la Dar es salaam, Padre Aidan Mubezi na watoto waliopata sakramenti ya Kipaimara Siku ya Jumamosi jijini Dar es salaam mara baada ya adhimisho la misa takatifu ya kipaimara Parikiani hapo, (Picha na Francis Mpepo). Na…