Category: Uncategorized
-
Na Mwandishi Wetu Wito umetolewa kwa taifa na jumuiya za kimataifa kuchukua hatua za haraka kudhibiti ongezeko la taka za plastiki ambazo ni miongoni mwa changamoto kubwa za kimazingira zinazoikumba dunia kwa sasa. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yaliyoambatana na usafi wa mazingira na yaliyoandaliwa na Shirika…
-
Na Gabriel Msumeno, Pwani Timu ya madaktari bingwa chini ya mpango maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan imewasili mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa huduma za kibingwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Mratibu wa timu hiyo kutoka Wizara ya Afya, Joachim Masunga amesema ujio wa madaktari hao…
-
Na Issa Mwandagala Wazazi na walezi Mkoani Songwe wametakiwa kutoruhusu watoto wenye jinsi tofauti kulala katika chumba kimoja kwani ndio chanzo cha mmonyoko wa maadili kwani wengi huanza kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Akama…
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)-Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre iliyofanyika Leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.Kituo hicho…
-
Na Vincent Mpepo, Dodoma Washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamekumbushwa kuendelea kumtolea Mungu kwa hiari kwani matendo ya utoaji yana baraka na Mungu hupendezwa na wenye moyo wa shukrani. Akihubiri wakati wa ibada ya kwanza jijini Dodoma katika Usharika wa Kanisa Kuu, Mchungaji Kiongozi wa KKKT Usharika wa Kisamo, Jimbo la…
-
Madereva wa Serikali Wakumbshwa Nidhamu Barabarani Na Issa Mwandagala, Songwe Madereva wa magari ya serikali pamoja na taasisi za umma Mkoani Songwe wamekumbushwa kuwa na nidhamu na kuzingatia sheria za usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuwashauri wa viongozi wanaowaendesha ili kupunguza ajali zinazoweza kuepukika ikiwa pamoja na kulinda usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Rai…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dadi Kolimba amewapongeza watumishi wa Bandari ya Tanga na kuwataka waendelee kufanya kazi kwa bidii ili kuunga mkono juhudi za serikali katika uwekezaji mkubwa uliofanyika katika bandari hiyo. Kolimba alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea na kukagua banda la Bandari ya Tanga kwenye maonesho ya 12…