Category: Uncategorized
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika Kipindi cha miaka minne ya serikali imefanikiwa kupunguza mrundikano wa wafungwa na mahabusu kwenye magereza hapa nchini ambapo amesema magereza hapa nchini zina uwezo wa kuchukua wafungwa na mahabusu 28,000 nchi nzima. Waziri Dkt. Ndumbaro ametoa taarifa hiyo leo alipokuwa akizungumza…
-
Na Vincent Mpepo Wanataaluma na watafiti katika taasisi za elimu ya juu barani Afrika wametakiwa kufanya tafiti zitakazotoa majawabu ya matumizi endelevu ya rasilimali za bahari barani humo ili kutekeleza dhana ya uchumi wa bluu kwa vitendo na tija katika kuchochea uchumi na maendeleo ya Afrika. Wito huo umetolewa na washiriki katika mjadala wa kitaaluma…
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Madereva wa magari ya serikali mkaoni Dodoma wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa ajili ya usalama barabarani wanapokuwa wakiendesha magari hayo. Rai hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Katabazi wakati akizungumza na madereva hao kwenye kikao maalumu alichokiitisha…
-
Na Cartace Ngajiro Umoja wa Wanawake Wanaofanya kazi Sekta ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wametembelea Bandari ya Tanga na kuridhishwa na utendaji kazi katika bandari hiyo baada ya kukamilika kwa mradi wa maboresho ya bandari. Akiongea wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa Umoja huo Mhandisi Fortunata Makoye Kakwaya alisema maboresho hayo yameleta…