Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- DC Bura Afunga Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi kwa Washiriki 1,001 Geita
- Burudika na Nyimbo za Ekaristi Takatifu
- Sungusungu Watahadharishwa Kutojichukulia Sheria Mkononi
- Serikali Yaingia Makubaliano na DIT Kuimarisha Usimamizi wa Maafa
- Waziri Kombo Akutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania Nchini Korea
about
Category: Uncategorized
-
Wimbo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mt. Yosefu. Ni wa kusikiliza (Audio), kutafakari, na kuomba ulinzi wa Mt. Yosefu. Furahia kazi ya sanaa kutoka kwa Wanakwaya wa Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu, Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania.
-
Na Vincent Mpepo Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Alex Makulilo amewataka wafanyakazi wa chuo hicho kubadilika kifikra na kiutendaji ili kuendana na ushindani katika mifumo ya uendeshaji taasisi za elimu ya juu kutoka ndani na nje ya nchi. Profesa Makulilo alitoa wito huo jana wakati wa mkutano wake wa kwanza na…
-
Na Mwandishi Wetu Mtangazaji mstaafu wa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Edda Sanga, ameelezea kukerwa na utangazaji wa mzaha na ucheshi unaovunja miiko ya tasnia hiyo kwa kuwa madai kuwa studio ni eneo la kuheshimiwa sio kupiga kelele au kurushiana maneno. Sanga alitoa kauli hiyo jana wakati wa mafunzo kwa watangazaji chipukizi kutoka vyuo…
-
Na Vincent Mpepo Watangazaji wakongwe wa iliyokuwa Redio Tanzania Dar es salaam (RTD) ambayo kwa sasa ni sehemu ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wametumia siku ya maadhimisho ya miaka 74 ya utangazaji Tanzania kubalishana uzoefu na waandishi wa habari watangazaji chipukizi ili kuhakikisha wanarithisha amali njema katika tasnia ya hiyo. Wakizungumza wakati wa mafunzo…
-
Na Vincent Mpepo Wanawake walio kwenye ndoa wametakiwa kuwasaidia waume zao katika majukumu ya kifamilia kwa kufanya kazi badala ya kuwa wategemezi na walalamishi ili kuwapunguzia msongo wa mawazo na vifo waume zao. Kauli hiyo imetolewa jana na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania (KKKT), Ismail Mwipile wa Usharika wa Segerea jijini Dar…
-
Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshuhudia ulipwaji wa fidia kwa Bi. Bahati Ngowi kufuatia kufuatia kifo cha mume wake Profesa Ngowi aliyepata ajali ya gari maeneo ya Mlandizi Kibaha mkoani Pwani tarehe 28 Machi 2022. Akishuhudia tukio hilo Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware alizitaka…
-
Kwaya ya watoto wa shule ya Jumapili wakihudumu katika ibada SiKu ya Jumapili (picha na Vincent Mpepo). Na Vincent Mpepo Mtenda Kazi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Anna Mauki amewataka washarika wa kanisa hilo kuona fahari ya umoja wa makanisa yaliyoungana na kuwa kanisa moja kwa kuwa ndani yake kuna mafanikio mengi.…
-
By Vincent Mpepo The Open University of Tanzania (OUT) has conducted training on awareness and understanding of Sign Language for its frontline administrative staff who interact directly with clients, including people with hearing impairments, with the goal of improving communication and service delivery. Speaking at the official opening of the training held recently in Dar…