Category: Uncategorized

  • Na Thomas Okello Fuatilia habari picha za matukio mbalimbali ya Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yaliyofanyika Mkoani Singida Aprili 28, 2025. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa…

  • Na Annamaria John Serikali itaendeleza ushirikiano na wadau mbalimbali ili kuwa na mfumo madhubiti wa kusimamia miradi ya maji hususani katika maeneo ya vijijini kwa kushirikiana na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Alex Tarimo…

  • Na Sylvester Richard Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego ametembelea Kaburi la Shujaa Liti ambaye ni Malkia wa kabila la wanyuturu kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani. Dendego amefanya ziara hiyo Aprili 27, 2025 akiambatana na viongozi mbalimbali vyombo vya ulinzi na usalama wakiwemo wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Zimamoto…

  • Na Annamaria John Imeelezwa kuwa mafunzo elekezi ni muhimu kwa wafanyakazi wapya ili kuwajengea uwezo kutambua misingi ya kazi, sheria, kanuni, taratibu na maadili ya utumishi wa umma. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu Bi. Christina Akyoo jijini Ddodoma wakati akiongea kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya…

  • Na Vincent Mpepo Wanandoa wamekumbushwa kuendelea kuwa pamoja ili kuwa na umoja na mshikamano ambao ni afya kwa ustawi wa ndoa na familia kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa leo katika ibada ya Siku ya kwanza baada ya Pasaka na Mtendakazi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kwembe, Anna Mauki wakati akihubiri…

  • Na Vincent Mpepo Kwa kawaida tumesikia ikizungumzwa kuwa afya bora ndio mtaji wa kwanza. Kauli hii inaangazia umuhimu wa kuwa na afya njema kwani ndiyo inakuwezesha kufanya mambo mengine ikwemo kufanya kazi au shughuli ambayo itakuingizia kipato. Kutokuwa na afya njema husababisha mambo mengi kutoenda vyema au kukwama kwa masuala mbalimbali ikiwemo shughuli za uzalishaji,…

  • Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshiriki mahafali ya 41 ya Kidato cha sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani na kuelezea nia yake ya kuendelea kushirikiana na shule hiyo kongwe. Akizungumza katika mahafali hayo kwa niaba ya Kamishna wa Bima Tanzania, Meneja wa TIRA Kanda ya Mashariki, Zakaria Muyengi…

  • Na Gabriel Msumeno Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mkoa wa Pwani wametakiwa kuweka mikakati ya kuimarisha maadili kwa watoto shuleni. Wito huo umetolewa April 23 na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala alipokuwa akifungua mkutano mkuu CWT Mkoa wa Pwani uliofanyika mjini Kibaha. Twamala aliwataka walimu kutafakari namna bora za kuwafundisha…

  • Na Gabriel Msumeno Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkuranga Omary Mwanga amewataka wakazi wa Wilaya hiyo kuongeza thamani ya mazao ya nyuki ili kuwa bidhaa bora ambazo zitakuwa na tija katika kukuza uchumi wao. Wito huo aliutoa hivi karibuni wakati wa maadhimisho ya siku ya nyuki yaliyofanyika Wilayani humo na kuhusisha vikundi mbalimbali vya wafugaji…

  • Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Elifas Bisanda akiongea na wafanyakazi na wanafunzi wakati wa ufunguzi wa kambi ya siku mbili ya upimaji wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa iliyoanza Leo chuni hapo. Kulia kwake ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho anayeshughulikia mipango, fedha na utawala, Pfofesa Josiah Katani akifuatiwa na Mkurugezi wa…