Category: Uncategorized
-
Picha kwa msaada wa Akili Mnemba
-
Na Farida Mkumba, Dodoma Ofisi ya Rais – TAMISEMI imeomba Shilingi trilioni 11.78 kwa matumizi ya mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hutuba aliyoisoma Leo jijini Dodoma, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa alibainisha kuwa Trilioni 3.95 zitakwenda kwenye miradi ya maendeleo, na Trilioni 7.84 ni kwa ajili ya matumizi ya…
-
Na Tabia Mchakama Wanawake TIRA wamejumuika na Wanawake wengine kutoka sekta ya Fedha Tanzania kushiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka ulioandaliwa na jumuiya yao (TAWiFA) ambapo DKt. Doto Biteko alikua Mgeni Rasmi. Akisoma hotuba yake Mhe. Biteko alisisitiza juu ya elimu ya fedha kwa wanawake wa vijijini ili waepukane na mikopo umiza inayosababisha kuchukuliwa baadhi ya…
-
Sehemu ya wadahiliwa wapya wa fani mbalimbal na katika ngazi mbalimbali waliohudhuria mafaunzo elekezi siku ya Jumamosi katika Kituo cha Mkoa cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dodoma. (Picha kwa niaba ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kituo cha Mkoa wa Dodoma).
-
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo juu ya Chuo cha Serikali za Mitaa alipotembelea banda la chuo hicho wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi inayojihusisha na maboresho ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) yanayoendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji Dodoma uliopo Mji wa Kiserikali Mtumba yaliyoanza…