Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- UNDP Yawezesha Mafunzo kwa Wachimbaji Kupitia Tume ya Madini
- Tanzania Yaunga Mkono Kuimarisha Ushirikiano wa Kibunge kupitia NAM-PN
- Nidhamu Yatajwa Kuwa Msingi wa Mafanikio kwa Wanafunzi Songea
- Gongo Lita 4.5 Yampeleka Jela, Afungwa Miaka 3
- Fursa za Kiuchumi, Uzalendo: Njia Muhimu kwa Maendeleo ya Vijana Tanzania
about
Category: Uncategorized
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi wamefanikisha operesheni maalumu ya kutokomeza kilimo haramu cha bangi katika maeneo ya Hifadhi ya Milima ya Haubi, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma. Akizungumza…
-
By Vincent Mpepo African countries have been called upon to work together instead of acting alone in the fight against poverty and exploitation. This cooperation would help fulfill the dreams of Africa’s founding leaders, such as Mwalimu Julius Nyerere and Nelson Mandela. The call was made during an academic forum held yesterday at Johari Rotana…
-
By Vincent Mpepo Academics and researchers in African higher learning institutions have been urged to conduct studies that provide practical solutions for the sustainable use of marine resources in order to effectively implement the Blue Economy concept and drive Africa’s economic and social development. A group photo of academics from the Faculty of Arts and…
-
Na Annamaria John Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) zimesaini mkataba ili kutekeleza Mradi wa Uhifadhi wa Maeneo Oevu na Baioanuwai ya Kidakio cha Katuma, Mpanda. Mradi wa IKI Katuma utatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu kwa gharama ya kiasi cha Euro 4,000,000.00…
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika Kipindi cha miaka minne ya serikali imefanikiwa kupunguza mrundikano wa wafungwa na mahabusu kwenye magereza hapa nchini ambapo amesema magereza hapa nchini zina uwezo wa kuchukua wafungwa na mahabusu 28,000 nchi nzima. Waziri Dkt. Ndumbaro ametoa taarifa hiyo leo alipokuwa akizungumza…
-
Na Vincent Mpepo Wanataaluma na watafiti katika taasisi za elimu ya juu barani Afrika wametakiwa kufanya tafiti zitakazotoa majawabu ya matumizi endelevu ya rasilimali za bahari barani humo ili kutekeleza dhana ya uchumi wa bluu kwa vitendo na tija katika kuchochea uchumi na maendeleo ya Afrika. Wito huo umetolewa na washiriki katika mjadala wa kitaaluma…
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Madereva wa magari ya serikali mkaoni Dodoma wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa kwa ajili ya usalama barabarani wanapokuwa wakiendesha magari hayo. Rai hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Katabazi wakati akizungumza na madereva hao kwenye kikao maalumu alichokiitisha…