Category: Uncategorized
-
Na Tabia Mchakama Ujumbe wa watu 12 kutoka Eswatini ukiongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Nchi hiyo Madala Mhlanga umezuru ofisi ndogo za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dar es salaam kwa lengo la kupata uzoefu wa masuala mbambali ya kibima ikiwemo usimamizi wa soko na maswala ya kisheria.…
-
Na Gabriel Msumeno, Pwani Watanzania wametakiwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ili kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo. Wito huo umetolewa na Mkimbiza Mwenge Kitaifa, Ismail Ali Ussi akiwa katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani ambako anaendelea kukimbiza Mwenge wa Uhuru. “Kila…
-
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ismail Ali Ussi akipanda mti kama ishara ya kutunza mazingira na uboreshaji wa nishati ya jua katika Hospital ya Mchukwi. Na Gabriel Msumeno, Pwani Mwenge wa uhuru umezindua miradi sita ya maendeleo katika sekta za elimu na afya Wilayani Kibiti Mkoani Pwani yenye thamani ya shilingi milioni…
-
Na Gabriel Alex Msumeno, Kibaha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Phillip Mpango ameongoza wananchi na wakazi wa Mkoa wa Pwani katika sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zilizofanyika Leo katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha. Akizungumza wakati wa sherehe hizo Dkt.Mpango amewataka watanzania kutumia vizuri haki…