Category: Uncategorized

  • Na Tabia Mchakama Wanawake TIRA wamejumuika na Wanawake wengine kutoka sekta ya Fedha Tanzania  kushiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka ulioandaliwa na jumuiya yao (TAWiFA) ambapo DKt. Doto Biteko alikua Mgeni Rasmi. Akisoma hotuba yake Mhe. Biteko alisisitiza juu ya elimu ya fedha kwa wanawake wa vijijini ili waepukane na mikopo umiza inayosababisha kuchukuliwa baadhi ya…

  • Wanafunzi wakiuliza na kujibu maswali mbalimbali katika mafunzo yaliyotolewa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupitia Ofisi ya Kanda ya Mashariki. Na Okello Thomas Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imetembelea wanafunzi na walimu wa shule mbalimbali za sekondari wilayani Mafia na kutoa elimu kuhusu vinasaba katika jinai ikiwemo…

  • Sehemu ya wadahiliwa wapya wa fani mbalimbal na katika ngazi mbalimbali waliohudhuria mafaunzo elekezi siku ya Jumamosi katika Kituo cha Mkoa cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dodoma. (Picha kwa niaba ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kituo cha Mkoa wa Dodoma).

  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo juu ya Chuo cha Serikali za Mitaa alipotembelea banda la chuo hicho wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na taasisi inayojihusisha na maboresho ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) yanayoendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Jiji Dodoma uliopo Mji wa Kiserikali Mtumba yaliyoanza…

  • Na Vincent Mpepo Watu wenye mahitaji maalumu ni kundi la watu ambao hawawezi kujipatia mahitaji yao ya msingi wao wenyewe kutokana na changamoto kadha wa kadha. Changamoto hizo husababishwa na vitu mbalimbali kama vile ulemavu wa kimwili, kihisia, kitabia, au kujifunza au kuharibika ambazo husababisha mtu kuhitaji huduma za ziada au maalum au malazi kama…

  • Na Vincent Mpepo, Dodoma Washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wametakiwa kuendelea kumtolea Mungu sadaka bila kukata tamaa huku wakiziombea ili zifanye kazi yake na pia wapate baraka kupitia sadaka hizo. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Ujenzi wa Madarasa ya Watoto na Ofisi za Usharika  wa Betheli Dayosisi ya Dodoma, Makao…

  • Sehemu ya wadahiliwa wapya waliohudhuria mafunzo elekezi katika Kituo cha Chuo Kikuu Huria cha Mkoa wa Arusha Leo, (Picha na Amos Majaliwa). Na Vincent Mpepo, Dodoma Wanafunzi wapya wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania waliodahiliwa katika shahada ya awali ya Mawasiliano ya Umma wameelezea matarajio yao katika muda watakaokuwa masomoni na kuainisha sababu za kukichagua…

  • Na Tabia Mchakama Ujumbe wa watu 12 kutoka Eswatini ukiongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Nchi hiyo Madala Mhlanga umezuru ofisi ndogo za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dar es salaam kwa lengo la kupata uzoefu wa masuala mbambali ya kibima ikiwemo usimamizi wa soko na maswala ya kisheria.…

  • Na Anamaria John Utendaji mzuri wa kazi hupimwa kwa matokeo yanayopatikana, na ili matokeo yaonekane lazima kuwepo na waangalizi, wasimamizi na wafuatiliaji wa utekelezaji kutokana na kile walichokiona kwa macho na sio kusikia na kuangalia katika makaratsi. Moja ya vipimo hivyo vinaweza kuonekana kupitia thamani ya fedha iliyo tumika kwa kulinganisha na uhalisia wa kazi…

  • Na Gabriel Msumeno, Pwani Watanzania wametakiwa kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 ili kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo. Wito huo umetolewa na Mkimbiza Mwenge Kitaifa, Ismail Ali Ussi akiwa katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani ambako anaendelea kukimbiza Mwenge wa Uhuru. “Kila…