Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
Category: Uncategorized
-
Na Vincent Mpepo Mtaalamu wa huduma za ushauri wa kitaalamu Innocent Deus amewataka wasomi katika fani za sanaa na sayansi za jamii kudhihirisha mchango wao katika utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii kupitia eneo la ushauri wa kitaalamu. Aliyasema hayo wakati wa mafunzo ya kitaalamu kwa wanataaluma na waendeshaji katika Kitivo cha Sanaa na Sayansi…
-
Na Vincent Mpepo Wanataaluma katika taasisi za elimu ya juu nchini wametakiwa kufanya tafiti zenye kuleta matokeo chanya, ikiwemo kutatua changamoto mbalimbali za kijamii na kubadili maisha ya wananchi, badala ya kuzihifadhi kabatini mara baada ya kuhitimu. Wito huo umetolewa na washiriki wa mafunzo ya ushauri wa kitaalamu ya siku mbili yaliyoanza leo katika Ukumbi…
-
Chuo cha serikali za mitaa warejea na makombe saba (7) na medali za kutosha katika mashindano ya SHIMIVUTA 2025 yaliotamatika 22 Disemba, 2025 mkoani Tabora. Makombe hayo ni pamoja na kombe la mpira wa pete (mshindi wa kwanza) na kwa wanaume ( mshindi wa pili) kombe la mpira wa mikono kwa wanawake (mshindi wa tatu),…
-
Na Vincent Mpepo Watanzania wanaosafiri kuelekea maeneo mbalimbali nchini, hususan washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kuwa waangalifu nyakati za mwisho wa mwaka kutokana na changamoto mbalimbali za usafiri. Wito huo umetolewa na Mwinjilisti Kiongozi wa Mtaa wa Kwembe, Emeline Mnzava, jana wakati wa ibada ya Siku ya Nne ya Majilio…
-
Na Mwandishi wetu, Nachingwea Mbunge wa Jimbo la Nachingwea Fadhili Liwaka ameahidi kuwalipia bodaboda zaidi 300 shilingi Elfu tano (5000) kwa Kila bodaboda atakayekwenda kununua kofia ngumu kwenye duka maalum alilolipendekeza. Akizungumza katika kikao kazi na bodaboda hao hivi karibuni, Mbunge Liwaka alisema kuwa ameamua kuwaunga mkono kwa kiasi hicho cha fedha kwa lengo kuwaondolea…
-
https://drive.google.com/file/d/13nLFSd1ZCvKoaNqyc1FRw3dwxTRtL-Ly/view
-
Na Athuman Kajembe, Nachingwea Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, Mohamed Hassan Moyo, ameonesha kukerwa baada ya kubaini ujenzi wa Kituo cha Afya cha Nammanga, Kata ya Ruponda, unaendelea bila kufuata Hati ya Makadilio Kiasi cha Kazi (BOQ) kama ilivyoainishwa na serikali. Akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, DC Moyo alisema…
-
Na OWM (KAM) – DODOMA Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umepongezwa kwa hatua kubwa ilizochukua katika kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wananchi, hususan utoaji wa fidia kwa wafanyakazi wanaokumbana na madhila ya ajali ama ugonjwa unaotokana na kazi. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano…