Category: Uncategorized
-
Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshiriki na kudhamini tuzo katika Mkutano wa Wadau wa elimu ulioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Rosemary Sinyamule uliofanyika mwanzoni mwa wiki hii jijini Dodoma. Katika Mkutano huo, Kamishna wa Bima Dkt. Baghayo Saqware aliitaka jamii kukata bima kutokana na manufaa yake katika…
-
Hawa Mikidadi, Morogoro Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Nuru Ngereja amewaomba waandishi wa habari kuendeleza ushirikiano na chama chake ili kuwatumikia wananchi katika utekelezaji wa ilani ya chama. Kauli hiyo aliitoa Tarehe 24.03.2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha na kuwatambua waandishi wa habari…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Menejimenti ya Bandari ya Tanga imewahakikishia wadau wa bandari hiyo kuendelea kutoa ushirikiano katika masuala mbalimbali ya kibandari ikiwa ni pamoja na utoaji huduma bora kwa wateja ili kuongeza tija na ufanisi. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga Bw. Peter Millanzi hivi karibuni wakati akifunga kikao cha…
-
Kijana Junior Allen Mwangoka miaka (22) amepotea. Mara ya ya mwisho alivaa jeans ya sky blue na t-shirt ya dark blue yenye nembo ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na mpaka sasa ana zaidi ya wiki mbili. Ukimwona toa taarifa kituo cha polisi jirani nawe, au wasiliana kwa +255 652 064 311.