Category: Uncategorized
-
Na Vincent Mpepo, Kwembe Vijana wa kike na kiume nchini wametakiwa kujishughulisha na kuzalisha kipato kitakachowasidia hata kama hawakupata ajira kwenye mifumo rasmi iwe serikalini au sekta binafsi. Wito huo umetolewa na Mwalimu Bupe Mwabenga wakati akihubiri katika ibada siku ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kwembe na kusisitiza…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuboresha bandari nchini na kuziwezesha kukusanya baadhi ya mapato “Wharfage” jambo ambalo limeongeza ufanisi katika utendaji. Pongezi hizo zilitolewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi Ludovick Nduhiye hivi karibuni wakati ziara yake katika bandari ya Tanga kujiuonea utendaji kazi wa bandari hiyo. Akipokea taarifa ya mradi…
-
By Vincent Mpepo, OUT The Open University of Tanzania (OUT) has expressed its commitment to maintaining strong relationships with partner universities in Norway due to the positive impact of such collaborations on the welfare of children with special needs something which is significantly improving their lives. The statement was made today in Kinondoni, Dar es…
-
Na Grace Mwakalinga, RUKWA MKUU wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, Lazaro Komba, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuhakikisha vinadhibiti mienendo inayolenga kuhatarisha ustawi wa watoto wakiwemo wenye ualbino katika jamii. Komba alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa kujadili masuala ya kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto ili kulinda haki ya…
-
Na Grace Mwakalinga, Dodoma Wadau wa sekta ya Sanaa wamekutana jijini Dodoma kujadili vikwazo wanavyokabiliana navyo wakati wa kutekeleza majukumu yao. Kikao hicho kimefanyika leo jijini humo kimewahusisha wadau ikiwemo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) na Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA) ili kupata suluhu ya masuala yanayohusu haki na maslahi …
-
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson akiongea na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye jengo la ofisi za madini Mkoa wa Singida Mei 15, 2024 Na Sylvester Richard-Singida Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Thomas Apson amesema serikali itaendelea kushirikiana na waandishi wa…