Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- Bandari ya Tanga Yavutia Viongozi wa Temeke kwa Fursa za Uwekezaji
- Polisi Washiriki Mazoezi Maalumu Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sikoseli Duniani
- DC Bura Afunga Mafunzo ya Ulinzi Shirikishi kwa Washiriki 1,001 Geita
- Burudika na Nyimbo za Ekaristi Takatifu
- Sungusungu Watahadharishwa Kutojichukulia Sheria Mkononi
about
Category: Uncategorized
-
Na Thomas Okello Fuatilia habari picha za matukio mbalimbali ya Maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yaliyofanyika Mkoani Singida Aprili 28, 2025. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa…
-
Na Annamaria John Serikali itaendeleza ushirikiano na wadau mbalimbali ili kuwa na mfumo madhubiti wa kusimamia miradi ya maji hususani katika maeneo ya vijijini kwa kushirikiana na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Alex Tarimo…
-
Na Sylvester Richard Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego ametembelea Kaburi la Shujaa Liti ambaye ni Malkia wa kabila la wanyuturu kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani. Dendego amefanya ziara hiyo Aprili 27, 2025 akiambatana na viongozi mbalimbali vyombo vya ulinzi na usalama wakiwemo wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Zimamoto…
-
Na Annamaria John Imeelezwa kuwa mafunzo elekezi ni muhimu kwa wafanyakazi wapya ili kuwajengea uwezo kutambua misingi ya kazi, sheria, kanuni, taratibu na maadili ya utumishi wa umma. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu Bi. Christina Akyoo jijini Ddodoma wakati akiongea kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya…
-
Na Vincent Mpepo Wanandoa wamekumbushwa kuendelea kuwa pamoja ili kuwa na umoja na mshikamano ambao ni afya kwa ustawi wa ndoa na familia kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa leo katika ibada ya Siku ya kwanza baada ya Pasaka na Mtendakazi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kwembe, Anna Mauki wakati akihubiri…
-
Na Vincent Mpepo Kwa kawaida tumesikia ikizungumzwa kuwa afya bora ndio mtaji wa kwanza. Kauli hii inaangazia umuhimu wa kuwa na afya njema kwani ndiyo inakuwezesha kufanya mambo mengine ikwemo kufanya kazi au shughuli ambayo itakuingizia kipato. Kutokuwa na afya njema husababisha mambo mengi kutoenda vyema au kukwama kwa masuala mbalimbali ikiwemo shughuli za uzalishaji,…
-
Na Tabia Mchakama Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeshiriki mahafali ya 41 ya Kidato cha sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani na kuelezea nia yake ya kuendelea kushirikiana na shule hiyo kongwe. Akizungumza katika mahafali hayo kwa niaba ya Kamishna wa Bima Tanzania, Meneja wa TIRA Kanda ya Mashariki, Zakaria Muyengi…