Category: Uncategorized
-
Kaimu Mkuu wa Dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Singida Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Exaud Waya akitoa elimu juu ya ukatili wa kijinsia kwenye kongamano la watoto waishio katika mazingira magumu katika ukumbi wa Vatican maeneo ya Mwenge, Manispaa ya Singida. Na Sylvester Richard -Singida Kaimu Mkuu wa Dawati la jinsia na watoto Wilaya…
-
By Vincent Mpepo, OUT It is creditable hearing something from the authority as the profession of journalism relies on as the best way to ensure authenticity of information and trust. Academicians are also entrusted with this feature as they are known to be knowledgeable in certain areas of specialization based on what they majored in…
-
Na Grace Mwakalinga, Dar es Salaam Idadi ya watoto wenye ulemavu wanaosoma katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko iliyopo jijini Dar es Salaam imeongezeka baada ya Chuo Kikuu Huria Tanzania kwa kushirikiana na vyuo vikuu kutoka Norway kuanzisha programu ya kuwawezesha wanawake wenye watoto shuleni hapo kujifunza shughuli za ujasirimali ili kujiingizia kipato. Hayo yamebainika…
-
Na Grace Mwakalinga, Dar es Salaam Vyuo vikuu viwili kutoka nchini Norway vimetoa msaada wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia kwa watoto wenye mahitaji maalum, Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko iliyopo jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati kukabidhi vifaa hivyo, Profesa Bente Dale Malones, alisema vifaa hivyo vitapunguza tatizo la uhaba wa nyenzo za kufundishia,…
-
Sehemu ya picha katika matukio ya hivi karibuni wakati wa kukabidhi misaada ya vifaa katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko jijini Dar es Salaam tukio lililohudhuriwa na wahadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao ni wenyeji, wahadhiri na wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Norway, walimu na wanafunzi wa shule hiyo. Vifaa hivyo vitapunguza tatizo…
-
By Vincent Mpepo, OUT Head of the Department of Social Work and Sociology at the Open University of Tanzania, Dr. Mariana Makuu, has advised the government to employ social work experts in inclusive primary schools to ensure the mental and psychological well-being of children while at school. The call was made during the donation handover…
-
Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dkt. Mariana Makuu akisisitiza jambo wakati wa kikao cha tathmini ya kutekeleza program za kuwasaidia watu wenye ulemavu kikiwahusisha wadau mbalimbali wakiwemo, wahadhiri, walimu, maofisa maendeleo ya jamii na wafadhili kutoka nchini Norway iliyofanyika jijini Dar es salaam hivi karibuni katika ukumbi wa…
-
Na Grace Mwakalinga, Dar es salaam Serikali imetakiwa kuajiri maofisa ustawi wa jamii kwenye shule za msingi jumuishi ili kuwahudumia kikamilifu watoto wenye mahitaji maalum ambao wakati mwingine hukosa mtu wa karibu kujua mahitaji yao wawapo shuleni. Mapendekezo hayo yametolewa na Mkuu wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dkt. Mariana…
-
Na Slyvester Richard, Singida Mahakama ya Wilaya Singida imemuhukumu Baraka Joel ambaye pia anajulikana kwa jina la Yohana (23), mkulima na mkazi wa Mughamo Manispaa ya Singida kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kubaka. Mshitakiwa Baraka alitenda kosa hilo Februari 17, 2023 huko Mtaa na Kata ya Mughamo, Tarafa ya Ilongero, Wilaya na Mkoa…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Jamii imetakiwa kuasili watoto wanaoishi na kutunzwa kwenye vituo mbalimbali ili wawe sehemu ya familia hivyo kupata malezi na uangalizi unaostahili kama wanajamii wengine. Wito huo umtolewa na Afisa Ustawi wa Jamii, Malezi na Familia wa Jiji la Arusha, Nivoneia Kikaho wakati wa uzinduzi wa chama cha waandishi wa habari wanawake…