Category: Uncategorized
-
Na Vincent Mpepo, Morogoro Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii cha Chuo Kikuu Huria cha Tanzania amewashukuru wafanyakazi wawakilishi wa idara za kitivo hicho na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya idara, kitivo na chuo kwa ujumla. Mtiva, Dunlop Ochieng alitoa kauli hiyo juzi Mjini Morogoro wakati akifungua kikao…
-
Na Vincent Mpepo, Morogoro Washarika wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ) Usharika wa Mji Mpya Jimbo la Morogoro wametakiwa kuwa makini na wahubiri wanaojulikana kwa majina ya mitume na manabii kwa kuwa wakati mwingine siyo wote wana karama za uponyaji kama wanavyojinasibu. Tahadahari hiyo ilitolewa na Mchungaji wa KKKT Usharika wa Mji…
-
Na Vincent Mpepo, CKHT Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wamekumbushwa kukamilsha ujazaji wa mfumo wa upimaji na ufuatiliaji wa malengo na shabaha ujulikanao kwa jina la PEPMIS leo 27/01/2024. Wito huo ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa chuo hicho, Francis Badundwa wakati wa mafunzo ya mafunzo ya uingizaji wa…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Chuo kikuu Huria cha Tanzania kitaendelea kushirikiana na taasisi za elimu ya juu za ndani na nje ya nchi katika kuhakikisha kuwa kinaendeleza majukumu yake ya msingi ya ufundishaji,kufanya utafiti na huduma kwa jamii kwa maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Kitivo cha Sanaa…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Serikali imetakiwa kuweka mazingira wezeshi kwa taasisi zake ili kuwa namna nzuri ya kutekeleza majukumu kwa taasisi, wakala na mashirika yake ili kuepusha changamoto za mafunzo ya zimatoto katika mambo yake na kufanya vitu vyenye tija kwa maslahi ya umma. Wito huo umetolewa na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania…