Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- UNDP Yawezesha Mafunzo kwa Wachimbaji Kupitia Tume ya Madini
- Tanzania Yaunga Mkono Kuimarisha Ushirikiano wa Kibunge kupitia NAM-PN
- Nidhamu Yatajwa Kuwa Msingi wa Mafanikio kwa Wanafunzi Songea
- Gongo Lita 4.5 Yampeleka Jela, Afungwa Miaka 3
- Fursa za Kiuchumi, Uzalendo: Njia Muhimu kwa Maendeleo ya Vijana Tanzania
about
Category: Uncategorized
-
By Vincent Mpepo, OUT The Open University of Tanzania (OUT) has expressed its commitment to maintaining strong relationships with partner universities in Norway due to the positive impact of such collaborations on the welfare of children with special needs something which is significantly improving their lives. The statement was made today in Kinondoni, Dar es…
-
Na Grace Mwakalinga, RUKWA MKUU wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, Lazaro Komba, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuhakikisha vinadhibiti mienendo inayolenga kuhatarisha ustawi wa watoto wakiwemo wenye ualbino katika jamii. Komba alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa kujadili masuala ya kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto ili kulinda haki ya…
-
Na Grace Mwakalinga, Dodoma Wadau wa sekta ya Sanaa wamekutana jijini Dodoma kujadili vikwazo wanavyokabiliana navyo wakati wa kutekeleza majukumu yao. Kikao hicho kimefanyika leo jijini humo kimewahusisha wadau ikiwemo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) na Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA) ili kupata suluhu ya masuala yanayohusu haki na maslahi …
-
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson akiongea na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye jengo la ofisi za madini Mkoa wa Singida Mei 15, 2024 Na Sylvester Richard-Singida Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Thomas Apson amesema serikali itaendelea kushirikiana na waandishi wa…
-
Na Sylvester Richard- Singida Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga akihutubia wananchi wa Mkoa wa Singida waliofika katika ukumbi wa RC Mission Manispaa ya Singida kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo DCP Stella A. Mutabihirwa aliyehamishiwa Makao Makuu ya Polisi na kumkaribisha Kamanda SACP Amon Daudi Kakwale. Katibu…
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Amon Daudi Kakwale akiongea na makundi ya watu katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida. Na Sylvester Richard- Singida Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Amon Daud Kakwale amewataka viongozi wa Serikali za Mitaa kuwatumia Polisi Kata…
-
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akiongea na watumishi wa umma Mkoa wa Singida katika kituo cha mabasi Ikungi kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani. Na Sylvester Richard-Singida Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amewataka watumishi wa umma Mkoa wa Singida kuisikiliza na kuielewa hotuba Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Imeelezwa kuwa ujio wa teknolojia mpya unapaswa kuchukuliwa kwa mapokeo chanya ili isadie katika mifumo ya ujifunzaji na usomaji katika ngazi zote za elimu badala ya kuweka vizuizi vingi katika utekelezaji wake. Hayo yamebainishwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Elifas Bisanda wakati wa kusaini makubaliano kati…
-
Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego akiongea na wananchi wa Mkoa wa Singida katika maadhimisho ya miaka 60 ya kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mji Mdogo wa Kiomboi, Wilaya ya Iramba, Mkoani Singida. Na Sylvester Richard, Singida Watanzania wamekumbushwa kuuenzi muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya kazi kwa maarifa na…