Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
Category: Uncategorized
-
Na Mwandishi wetu, Dodoma. Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika na kuripoti habari zinazohamasisha amani ili kuwa na taifa endelevu katika sekta mbalimbali kwa ujenzi wa nchi. Akizungunza na waandishi wa habari zaidi ya 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini wakati wa mafunzo maalumu kuhusu uandishi wa habari wa amani Jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Mambo…
-
The Office Management Secretary of the Open University of Tanzania’s Dodoma Regional Centre, Gracehilda Urassa, provides clarification on admission matters to newly admitted and continuing students. To her right is the Centre Director, Dr. Mohamed Msoroka. (By Vincent Mpepo). By Ummy Kondo, Dodoma New and continuing students of the Open University of Tanzania (OUT) have…
-
Na Ummy Kondo, Dodoma Wanafunzi wapya na wanaoendelea wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wametakiwa kuwajibika katika masomo na kuwa na nidhamu ili wasome na kuhitimu kwa wakati. Wito huo ulitolewa na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Alex Makulio katika hotuba yake ya ukaribisho kwa wanafunzi wapya na wanaoendelea kwa Mwaka wa masomo wa…
-
Na Damas Kalembwe Mkuu wa Ushirikishwaji Jamii wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, ACP Ally S. Wendo, akimwakilisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, SACP Mtatiro Kitinkwi, ameongoza kikao kazi na Kikundi cha Ulinzi Shirikishi cha Wilaya ya Kinondoni (USHITA), kilichofanyika katika ukumbi wa Club 361, Mwenge jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika kikao…
-
Na Vincent Mpepo Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha utoaji wa huduma na kukuza mapato ya chuo hicho. Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Alex Makulilo, alitoa wito huo jana katika hafla ya uzinduzi wa gari jipya la ofisi yake iliyofanyika Kinondoni, jijini Dar es Salaam.…
-
Na Vincent Mpepo, Songea Wataalamu wa afya wa Zahanati ya Kijiji cha Mlete iliyopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wamepongezwa kwa moyo wao wa kujitoa na kujituma katika kuhudumia wagonjwa. Hayo yamebainishwa na ndugu wakiwemo watoto wa marehemu Amalia Chilongo wakati wa ibada ya mazishi yake jana huku ikibainika wazi kuwa watumishi wa Zahanati hiyo…