Kusini Kwetu
Habari za ndani na nje nchi
recent posts
- TAKUKURU Kuendelea Kufuatilia, Kuthibiti Matumizi Fedha za Miradi ya Serikali
- BARIKIWA NA NYIMBO ZA KWARESMA
- Kukamilika Soko la Samaki Kutaibua Fursa za Uchumi, Ajira kwa Wananchi
- DC Moyo Agawa Miche ya Mikorosho kwa Wakulima Nachingwea
- Mt. Kizito Makuburi – Buriani Baba Pengo (Official Music Video)
about
Category: Uncategorized
-
Mgeni Rasmi wa katika maadhimisho ya Siku ya Kifaransa Duniani, Afisa Elimu Kata ya Upanga Magharibi, Mwalimu Immaculata Ngure katika picha ya pamoja na meza kuu pamoja na walimu wa Kifaransa waliohudhuria katika maadhimisho hayo jana Katika Shule ya Sekondari Azania, jijini Dar es Salaam. (Picha na Vincent Mpepo). Na Vincent Mpepo Wadau wa lugha…
-
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Alex Makulilo akizungumza na hadhara ya wafanyakazi wa chuo hicho jana Kinondoni, jijini Dar es salaam. Na Vincent Mpepo Uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) umesisitiza dhamira yake ya kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza tija na kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja. Akizungumza…
-
Kulia ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Iramba SSP Brainer Robert akiteta Jambo na Muuguzi Mfawidhi Hospitali ya Wilaya ya Mkalama, Wilson Augustin (katikati) muda mfupi baada ya kupoke msaada uliotolewa na Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wanawake (TPF NET) Mkoa wa Singida katika Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambapo…
-
Na Alvar Mwakyusa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kuwa mvua zitaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi, hasa katika kanda ya Ziwa Victoria, magharibi mwa nchi, na nyanda za juu kusini-magharibi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa, mvua zinazoambatana na ngurumo za radi zinatarajiwa katika maeneo machache…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza imeandika historia baada ya kupokea Meli ya MV PARNIA yenye Makontena 463 kutoka Iran. Akiongea mara baada ya kupokea meli hiyo Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Balozi Batilda Burian, alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa…
-
Na Ummy Kondo, Dodoma Wanakikundi wa PMO LEYD wametembelea na kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wa Kambi ya wazee Sukamahela Wilayani Manyoni, Singida. Msaada hiyo ilitolewa na wanakikundi hao hivi karibuni ikiwa ni sehemu ya taratibu na utamaduni wa kikindi hicho ili kuyafikia makundi yenye uhitaji na kwamba watumishi, mashirika na watu binafsi wajenge utaratibu…
-
Na Mwandishi wetu, Dodoma. Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika na kuripoti habari zinazohamasisha amani ili kuwa na taifa endelevu katika sekta mbalimbali kwa ujenzi wa nchi. Akizungunza na waandishi wa habari zaidi ya 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini wakati wa mafunzo maalumu kuhusu uandishi wa habari wa amani Jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Mambo…
-
The Office Management Secretary of the Open University of Tanzania’s Dodoma Regional Centre, Gracehilda Urassa, provides clarification on admission matters to newly admitted and continuing students. To her right is the Centre Director, Dr. Mohamed Msoroka. (By Vincent Mpepo). By Ummy Kondo, Dodoma New and continuing students of the Open University of Tanzania (OUT) have…
-
Na Ummy Kondo, Dodoma Wanafunzi wapya na wanaoendelea wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wametakiwa kuwajibika katika masomo na kuwa na nidhamu ili wasome na kuhitimu kwa wakati. Wito huo ulitolewa na Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Alex Makulio katika hotuba yake ya ukaribisho kwa wanafunzi wapya na wanaoendelea kwa Mwaka wa masomo wa…