Category: Uncategorized

  • Na Vincent Mpepo Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kwembe, wameungana na watu wengine duniani kuadhimisha Siku ya Wapendanao kwa namna ya kipekee, ambapo wanandoa walipatiwa mafunzo na uzoefu mbalimbali kama njia ya kukumbushana wajibu na haki zao katika ndoa taasisi inayotajwa kuwa msingi wa familia, jamii na taifa kwa…

  • Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika mwendelezo wa utoaji wa elimu kwa umma, Jeshi la polisi limeendelea na kazi hiyo ambapo jana, Mratibu wa Program ya Usalama Wetu Kwanza Wilaya ya Kati na Kariakoo Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (Insp) Martin Shila alifika katika Shule ya Msingi Olympio Iliyopo Upanga Dar es salaam na kuzungumza…

  • Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Kariakoo Mrakibu wa Polisi (SP) Rosemary Kitwara amewataka wananchi kujiepusha na taarifa za upotoshaji zinazotolewa na watu mbalimbali wasio na mamlaka ya kutoa taarifa kwa jamii. SP Kitwara aliyasema hayo jana wakati wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo Dar es salaam ambapo amewaasa…

  • Na Issa Mwadangala Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limetoa taarifa ya matukio mawili ambapo katika tukio moja limeripoti kifo cha Feriki Kareai (54) Mkulima, Mkazi wa Kijiji cha Lukululu Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, amabaye alikutwa amefariki dunia huku mwili wake ukiwa umefukiwa na kifusi pembeni mwa Mto Itemba. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la…

  • By Alvar Mwakyusa Tanzania is expected to experience varied rainfall during the Masika season from March to May 2026, with wetter conditions in some regions and drier weather in others, the Tanzania Meteorological Authority (TMA) has said. TMA Director General and Vice Chair of the Intergovernmental Panel on Climate Change, Dr Ladislaus Chang’a, said enhanced…

  • Na Alvar Mwakyusa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa mvua za msimu wa Masika kwa mwaka 2026, ikieleza kuwa baadhi ya maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka yanatarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani, huku maeneo mengine yakitarajiwa kupata mvua za wastani hadi chini ya wastani. Kwa…

  • Na Vincent Mpepo, Dodoma Watumishi wa Idara ya Masomo ya Habari na Ukutubi chini ya Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, wametakiwa kufanyia kazi changamoto mbalimbali za wanafunzi na masuala mengine kwa wakati. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Idara, Dkt. Henry Mambo, wakati akifunga kikao kazi cha idara hiyo…

  • Na Farida Mkumba Wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Kampasi ya Shinyanga wametembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kuwaona wagonjwa, kufanya usafi eneo lote linalozunguka Hospitali hiyo, kujitolea damu na kutoa misaada mbalimbali za Kijamii. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wangonjwa na wananchi mbalimbali wameeleza namna wanavyoridhishwa na uwepo wa Chuo cha…