Category: Uncategorized

  • Na Mohamed Zongo Kikosi cha Polisi Reli Tanzania kimeendelea kushirikiana na jamii inayofanya shughuli zake katika ushoroba wa reli kwa kufanya usafi wa pamoja na mafundi wa magari, wauzaji wa chakula maarufu kama mama ntilie, maafisa usafirishaji pamoja na wafanyabiashara ndogondogo katika eneo la Pentagon, Mivinjeni, Kata ya Kurasini, Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar…

  • Na Mwandishi Wetu, Nachingwea—Lindi Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka, amekabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) katika Kituo cha Afya Naipanga, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa jimbo hilo. Makabidhiano hayo yamefanyika wakati Mbunge huyo akiendelea na ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa imani waliyoonyesha kwake, sambamba…

  • Na Mwandishi Wetu, Nachingwea—Lindi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi), Deus Sangu, ameweka jiwe la msingi la Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Kijiji cha Nditi, Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi. Waziri Sangu ameweka jiwe hilo la msingi ikiwa ni sehemu ya ziara yake…

  • Jarida hili Maalum la Mafanikio ya Mradi wa HEET OUT limeangazia safari ya mageuzi, mafanikio makubwa, na athari chanya za uwekezaji wa Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET) katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Jarida hili linaonesha hatua zilizofikiwa katika ujenzi wa miundombinu ya kisasa, kuimarisha ubora wa elimu, kukuza utafiti na ubunifu.…

  • Na Farida Mkumba, Dodoma Wananchi wa vijijini wanatarajiwa kuanza kunufaika na mfumo mpya wa mita za maji za malipo kabla (prepaid), unaolenga kuondoa kero ya bili kubwa za maji na kuwapa watumiaji uhuru wa kutumia maji kulingana na kiasi cha fedha walicholipia. Akizungumza wakati wa Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya John Samuel…

  • Na Juma John Elisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa shauri la madai namba 14864, linalohusu mgawanyo wa mali za chama pamoja na maombi ya zuio dhidi yake, litatajwa kesho Jumatano, Agosti 5, 2026, saa 5:00 asubuhi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, mbele ya Jaji Awamu Mbagwa. Kwa…

  • Na George Gabriel Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu kupitia Kitengo cha Sheria imeendelea kutekeleza mpango wa kuwajengea uwezo wajumbe wa Mabaraza ya Kata kwa kutoa mafunzo ya uendeshaji wa mabaraza katika kata za Mikang’aula, Kamundi, Nangomba, Chipuputa, Masuguru, Nanyumbu na Mkonona. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria, Byera Nilo, alisema…

  • Na Yusra Temba Imeelezwa kuwa matumizi ya teknolojia ya kidijitali katika ununuzi wa umma yanaendelea kupewa kipaumbele nchini kufuatia hitimisho la Kongamano la 10 la Ununuzi wa Umma lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa mweziu Julai. Kongamano hilo liliwakutanisha wadau kutoka sekta za umma na binafsi kujadili namna ya kuimarisha ufanisi, uwazi na ushindani katika michakato…

  • Na George Gabriel Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Benjamin Masimbo, ameongoza Mkutano wa Baraza la Madiwani ambapo baraza lilipokea na kujadili taarifa za maendeleo ya kata pamoja na taarifa za Kamati za Kudumu za Halmashauri kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2025/2026. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya…

  • Na George Gabriel Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Donald Msengi, ameridhishwa na maandalizi yanayofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu kuelekea Maonesho ya Nanenane 2026, huku akisisitiza kuwa kazi zilizobaki zikamilishwe kwa wakati na kwa ubora unaostahili. Kanali Msengi alitoa kauli hiyo jana baada ya kukagua banda la Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, ambapo…