Category: Uncategorized
-
Na Mwandishi wetu, Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia utoaji wa mgari 24 kwa Jeshi la Polisi ikiwa ni vitendea kazi muhimu vitakavyosaidia utekelezaji wa majukumu ya jeshi hilo. Shukrani hizo alizitoa Septemba 16,2025 kwenye hafla fupi ya…
-
Na Vincent Mpepo Wakuu wa idara, wakurugenzi na maafisa udhibiti ubora katika taasisi za elimu ya juu nchini za umma na binafsi wameelezea fursa na changamoto za matumizi ya akili mnemba (AI) katika taaluma huku wito ukitolewa kwa serikali, vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuwekeza katika eneo hilo. Hayo yamebainishwa na washiriki…
-
Na Vincent Mpepo, Dodoma Wakristo wametakiwa kuendelea kumtolea Mungu kwa ukarimu, uaminifu na moyo wa kupenda kama sehemu ya wajibu wao kwani kila wanachokimilki ni mali yake na wamepewa ili kuvitunza kwa faida yao na kwa utukufu wake. Hayo yamesemwa na Mtheolojia Neema Swai wakati akihubiri katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika…
-
By George Mwamba, SongeaChipole Orphanage and Special Needs Center, located in Magagura Ward, Songea Rural District, Ruvuma Region, has received a donation of 1.2 million Tanzanian shillings in cash, along with food, clothing, and other essential supplies. The contribution came from the Open University of Tanzania (OUT) community, including staff, alumni, current students, and other…
-
Na Mack Francis-Arusha Wananchi wa Mkoa wa Arusha jana Jumamosi Agosti 23, 2025 wamejumuika pamoja kushiriki kwenye Mbio za pamoja na mazoezi ya viungo, ikiwa ni siku ya Kilele cha Tukio la Tanzania Samia Connect, linalofanyika Mkoani Arusha kuelezea mafanikio yaliyopatikana Mkoani Arusha katika Kipindi cha Miaka minne ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu…
-
Na Sylvester Richard Afisa Polisi Jamii Mkoa wa Singida, ACP Richard Mwaisemba amewataka wananchi wa Kata ya Makanda, Wilaya ya Manyoni, kuitii sheria na kanuni za uchaguzi mkuu 2025 bila kushurutishwa ili kulinda amani na usalama katika maeneo yao. Akihitimisha mafunzo ya Polisi Jamii kwa vijana 32 wa kijiji cha Magasai, ACP Mwaisemba amesisitiza umuhimu…