Category: Uncategorized

  • Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watumishi wa Hazina ndogo mkoani Kigoma kufanya kazi kwa bidii, maarifa, weledi na kuzingatia kanuni katika majukumu yao. Wito huo aliutoa wakati wa mazungumzo na watumishi hao alipotembelea Mkoa huo hivi karibuni ambapo alipata fursa ya kuzungumza na watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

  • Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tazania anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Josiah Katani ni miongoni mwa waliofika katika zoezi la upimaji afya mapema jana. Anayeonekana nyuma yake ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Francis Badundwa na Profesa Cosmas Mnyanyi. (Picha kwa hisani ya Dkt.…

  • Na Mack Francis-Arusha Mkuu wa mkoa Arusha Kenani Kihongosi mapema wiki hii aliwaongoza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano…

  • Na Damasi Kalembwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Acp Pili Misungwi amekabidhi pikipiki mbili kwa watendaji wa dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Kimara na Kinondoni. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika kituo cha Polisi Oystebay ambapo yamehudhuriwa na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali Mkoa wa kinondoni. Watendaji wa dawati la jinsia…

  • Na Sylvester Onesmo-Dodoma Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ameahidi iwapo atapewa ridhaa na watanzania kuiongoza nchi, serikali yake itahakikisha wafanyakazi wanajengewa nyumba wakiwa bado kazini ili kuondoa hofu ya maisha magumu baada ya kustaafu. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais akiwa na Mgombea mwenza Masoud Ali bdallah katika…

  • Na Damasi Kalembwe Mkuu wa Ushirikishwaji wa Jamii Mkoa wa Kinondoni, ACP Ally Wendo amezindua kituo cha polisi kinachohamishika cha Kuzidi maeneo ya Goba, Kinzudi jijini Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika juzi na ulihudhuriwa na  maafisa wa jeshi hilo, wakaguzi, askari wa vyeo mbalimbali, viongozi wa serikali ya mtaa  na wananchi wa mtaa huo. Katika uzinduzi huo,…

  • Na Vincent Mpepo Wadahiliwa wa Shahada za Uzamili na Uzamivu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mkoa wa Dar es salaam wameelezea mipango na mikakati yao binafsi ili kuhakikisha wanamaliza masomo yao kwa wakati na kwa mafanikio. Wakizungumza na mwandishi wetu katika mahojiano, wadahiliwa hao  walionesha kufurahia mafunzo elekekezi yaliyotolewa na chuo hicho kwani yamewafungua…