Category: Uncategorized
-
Na Vincent Mpepo Wadahiliwa wapya wa shahada za uzamili na uzamivu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kituo cha Mkoa wa Dodoma wametakiwa kutumia muda vizuri ili kuhakikisha wanamaliza programu walizodahiliwa ndani muda uliopangwa. Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa Kituo cha Mkoa cha Dodoma, Dkt. Mohamed Msoroka wakati wa ufunguzi na uwasilishaji wa mafunzo…
-
Na Issa Mwadangala Wazazi na walezi wa Kijiji cha Ikonya kilichopo Kata ya Bara Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuhakikisha malezi ya watoto yanazingatia maadili ya dini. Hayo yamesemwa na Naibu Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Songwe Mrakibu wa Polisi (SP) Ester Ngaja juzi wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi…
-
By Vincent Mpepo Newly admitted master’s and doctoral students at the Open University of Tanzania have been urged to manage their time wisely to ensure they complete their respective programs within the scheduled time frame. The advice was given by the Director of the Dodoma Regional Centre, Dr. Mohamed Msoroka, during the orientation and introductory…
-
Na Issa Mwadangala, Songwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, ameongoza matembezi kwa vyombo vya usalama mkoani humo Julai 25, 2025. Akizungumza mara baada ya mazoezi hayo ya utimamu wa mwili, Kamanda Senga alisema kuwa lengo la mazoezi hayo ni kujenga umoja, ushirikiano na kuimarisha afya ya…
-
Na Rehema Kavishe Waandishi wa habari chipukizi wametakiwa kusoma kwa bidi ili kuwa na maarifa stahiki katika fani hiyo yatakayowawezesha kuendana na ushindani wa soko la ajira na ikibidi kuwa wajasiriamali katika maeneo mbalimbali ya tasnia hiyo. Hayo yamejiri wakati wa ziara ya Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Vincent Mpepo katika Chuo…
-
Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ally Ussi amempongeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa usimamizi madhubuti na utoaji wa fedha katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini. Ussi alitoa pongezi hizo wakati wa ukaguzi na uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa daraja la Konkilangi na barabara ya…
-
Na Issa Mwadangala. Madereva wa vyombo vya moto wanaofanya safari zao Barabara ya Mbeya-Tunduma wametakiwa kuacha tabia ya kuendesha vyombo hivyo kwa mazoea ili kupunguza ajali za barabarani. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Raphael Magoma aliyasema hayo jana wakati akitoa elimu kwa madereva na abiria katika eneo la ukaguzi wa magari lililopo Chimbuya Wilaya ya Mbozi…
-
Na Vincent Mpepo Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kwembe wameelezea mafanikio, fursa na changamoto zinazowakabili katika safari ya kujikwamua kichumi kama sehemu ya jamii huku wakitoa rai kwa washarika na jamii kuwaunga mkono katika harakati zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Vijana Mtaani hapo, Abel Mvungi Siku ya Jumapili…
-
Wimbo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mt. Yosefu. Ni wa kusikiliza (Audio), kutafakari, na kuomba ulinzi wa Mt. Yosefu. Furahia kazi ya sanaa kutoka kwa Wanakwaya wa Kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu, Tegeta, Dar es Salaam, Tanzania.
-
Na Vincent Mpepo Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa Alex Makulilo amewataka wafanyakazi wa chuo hicho kubadilika kifikra na kiutendaji ili kuendana na ushindani katika mifumo ya uendeshaji taasisi za elimu ya juu kutoka ndani na nje ya nchi. Profesa Makulilo alitoa wito huo jana wakati wa mkutano wake wa kwanza na…