Category: Uncategorized
-
Na George Mwamba Viongozi na maafisa kutoka taasisi mbalimbali za usalama za Tanzania na Msumbiji wamekutana mjini Songea kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu makosa na uhalifu wa kuvuka mipaka, pamoja na kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu ya kiusalama. Mkutano huo wa siku mbili ulioanza jana katika Ukumbi wa Heritage Cottage, Manispaa ya Songea, Mkoa…
-
Na Cartace Ngajiro, Tanga Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke, Mhe. Uzairu Athumani, ameipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika katika Bandari ya Tanga, akisema umeongeza uwezo wa bandari hiyo kuhudumia hadi meli 600 kwa mwaka na kufungua fursa nyingi za kiuchumi. Mhe. Athumani alitoa kauli hiyo alipofanya ziara ya mafunzo katika Bandari ya…
-
Na Jastini Bukebuke Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo, ameongoza maofisa na askari wa Jeshi la Polisi, wanachama wa Ulinzi Shirikishi pamoja na Geita Jogging Club kushiriki mazoezi maalumu yaliyoandaliwa na Idara ya Afya ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita ikiwa ni sehemu ya kuhitimisha maadhimisho ya Siku ya Sikoseli…
-
Na Jastini Bukebuke Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mhe. Louis Bura, amefunga rasmi mafunzo maalumu ya Ulinzi Shirikishi kwa washiriki 1,001 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita na Manispaa ya Geita, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika kuimarisha usalama na kulinda mali za umma na binafsi. Hafla ya kufunga mafunzo hayo ilifanyika jana katika…
-
Na Jastini Bukebuke Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Mbogwe, SP Yusuph Chiwanga, amewataka Sungusungu na wananchi wa Kijiji cha Luhala, Kata ya Lugunga, kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi wanapotekeleza majukumu yao ya ulinzi na usalama. Akizungumza katika kikao cha uhamasishaji wa usalama wa jamii, SP Chiwanga alisema ni muhimu kwa Sungusungu kuzingatia nidhamu,…
-
Na Cosmas Msuha SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) imeingia makubaliano ya ushirikiano (MoU) na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa maafa nchini kupitia matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo, Katibu Mkuu wa…
-
Na Cosmas Msuha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na watanzania waishio Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii. Akizungumza katika mkutano uliofanyika jana jijini Seoul, Balozi Dkt.…
-
Na Cosmas Msuha WAZIRI Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekagua ujenzi wa Barabara ya Noranga (Doroto)–Itigi (Mlongojii) yenye urefu wa kilomita 25 inayojengwa katika Halmashauri ya Itigi, Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida kwa gharama ya shilingi bilioni 29.6. Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo leo wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kutoka kwa Mkurugenzi wa…
-
Na Vincent Mpepo, OUT Imeelezwa kuwa elimu ya darasani pamoja na mafunzo ya ufundi yanayotolewa katika mfumo rasmi bado hayajawawezesha wahitimu kuwa wabunifu, mahiri na wenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha na ajira katika mazingira halisi. Hayo yamebainishwa leo katika mhadhara wa wazi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, ambapo…