
Na Happy Milion
Mahakama ya Wilaya ya Wanging’ombe, mkoani Njombe, imemhukumu Ibrahimu Lulambo Kiswaga (64), mkazi wa Kijiji cha Ilulu wilayani humo, kifungo cha maisha jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kujaribu kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12.
Hukumu hiyo ilitolewa Oktoba 20, 2026, na Hakimu James Mhoni, kufuatia tukio lililotokea Machi 25, 2026.
Leave a Reply