Category: Uncategorized
-
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akizungumza na wadau wa kemikali bashirifu zaidi ya 40 wakati akifungua kikao cha wadau wa Kemikali Bashirifu na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam, Mei 28, 2025. Na Okello Thomas Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa…
-
By Vincent Mpepo The Open University of Tanzania (OUT) will launch a Bachelor’s programme in Records and Archives Management starting from the 2025/2026 academic year after fulfilling the requirements set by the Tanzania Commission for Universities (TCU). Speaking during a stakeholders’ engagement workshop held today on the programme in Kinondoni- Dar es salaam, Assistant Lecturer…
-
Wadau wa Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu katika picha ya pamoja leo wakati wa warsha ya mapitio ya Mtaala wa Shahada ya Utunzaji wa Nyaraka na Kumbukumbu iliyifanyika leo jijini Dar es salaam na kuhusisha wanataaluma, waanafunzi, wahitimu, waajiri, vyama vya kitaaluma na wafanyakazi katika kada hiyo katika sekta za umma na binafsi. Na Vincent…
-
Na Gloria Maganza, Dodoma Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito kwa vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2025 kutoka shule zote Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2025. Akiwasilisha wito huo jana kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Kijenga Taifa…
-
Na Vincent Mpepo Mwinjilisti Neema Mhilu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amesema suala la wakristo kuishi pamoja ni suala la kibiblia na kusisitiza kuwa Umoja wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania unasawiri uhalisia huo. Mwinjilisti Mhilu aliyasema hayo jana wakati wa mahuburi katika ibada ya Siku ya 5 baada ya Pasaka katika Mtaa…