Category: Uncategorized

  • Na Ruth Kyelula, Mbulu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Joseph Mandoo amewataka madiwani na  wakuu wa idara kushirikiana ili kuhakikisha wanafunzi wanaripoti shule kabla ya muda uliopangwa kuisha. Mandoo aliyasema hayo wakati akifungua baraza la madiwani katika robo ya pili ya Octoba-Desemba 2024/2025 iliyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa halmashauri ya Wilaya hiyo…

  • Na Cartace Ngajiro, Tanga Serikali imepongezwa kwa kuendelea kuboresha bandari nchini na kuziwezesha kukusanya baadhi ya mapato “Wharfage” jambo ambalo limeongeza ufanisi  katika utendaji. Pongezi hizo zilitolewa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi Ludovick Nduhiye hivi karibuni wakati ziara yake katika bandari ya Tanga kujiuonea utendaji kazi wa bandari hiyo. Akipokea taarifa ya mradi…

  • Na Vincent Mpepo, OUT Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kimeeleezea nia yake ya kuendelea kuenzi uhusiano mwema na vyuo vikuu inavyoshirikiana navyo kutoka Norway kutokana faida ya mahusiano hayo katika ustawi wa watoto wenye mahitaji maalumu kitu kinachoongeza thamani na faraja katika maisha yao. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za…

  • By Vincent Mpepo, OUT The Open University of Tanzania (OUT) has expressed its commitment to maintaining strong relationships with partner universities in Norway due to the positive impact of such collaborations on the welfare of children with special needs something which is significantly improving their lives. The statement was made today in Kinondoni, Dar es…

  • Na Grace Mwakalinga, RUKWA MKUU wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, Lazaro Komba, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama  wilayani humo kuhakikisha vinadhibiti mienendo inayolenga kuhatarisha ustawi wa watoto  wakiwemo wenye ualbino katika jamii. Komba alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati wa kujadili masuala ya  kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto ili kulinda haki ya…

  • Na Grace Mwakalinga, Dodoma Wadau wa sekta ya Sanaa wamekutana jijini Dodoma kujadili vikwazo wanavyokabiliana navyo wakati wa kutekeleza majukumu yao. Kikao hicho kimefanyika leo jijini humo kimewahusisha wadau ikiwemo Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) na Taasisi ya Hakimiliki (COSOTA) ili kupata suluhu ya masuala yanayohusu haki na maslahi …

  • Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Thomas Apson akiongea na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye jengo la ofisi za madini Mkoa wa Singida Mei 15, 2024 Na Sylvester Richard-Singida Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Thomas  Apson amesema serikali itaendelea kushirikiana na waandishi wa…

  • Na Sylvester Richard- Singida Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Fatma Mganga akihutubia wananchi wa Mkoa wa Singida waliofika katika ukumbi wa RC Mission Manispaa ya Singida kwenye hafla ya kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo DCP Stella A. Mutabihirwa aliyehamishiwa Makao Makuu ya Polisi na kumkaribisha Kamanda SACP Amon Daudi Kakwale. Katibu…

  • Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Amon Daudi Kakwale akiongea na makundi ya watu katika ukumbi wa mikutano uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida. Na Sylvester Richard- Singida Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Amon Daud Kakwale amewataka viongozi wa Serikali za Mitaa kuwatumia Polisi Kata…

  • Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego akiongea na watumishi wa umma Mkoa wa Singida katika kituo cha mabasi Ikungi kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani. Na Sylvester Richard-Singida Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amewataka watumishi wa umma Mkoa wa Singida kuisikiliza na kuielewa hotuba Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…