Category: Uncategorized

  • Na Vincent Mpepo, OUT Chuo kikuu Huria cha Tanzania kitaendelea kushirikiana na taasisi za elimu ya juu za ndani na nje ya nchi katika kuhakikisha kuwa kinaendeleza majukumu yake ya msingi ya ufundishaji,kufanya utafiti na huduma kwa jamii kwa maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Kitivo cha Sanaa…

  • Na Vincent Mpepo, OUT Serikali imetakiwa kuweka mazingira wezeshi kwa taasisi zake ili kuwa namna nzuri ya kutekeleza majukumu kwa taasisi, wakala na mashirika yake ili kuepusha changamoto za mafunzo ya zimatoto katika mambo yake na kufanya vitu vyenye tija kwa maslahi ya umma. Wito huo umetolewa na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania…