Jarida hili Maalum la Mafanikio ya Mradi wa HEET OUT limeangazia safari ya mageuzi, mafanikio makubwa, na athari chanya za uwekezaji wa Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET) katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Jarida hili linaonesha hatua zilizofikiwa katika ujenzi wa miundombinu ya kisasa, kuimarisha ubora wa elimu, kukuza utafiti na ubunifu.
Karibu usome na ujionee jinsi HEET inavyoendelea kuleta mabadiliko chanya katika elimu ya juu nchini Tanzania.
Leave a comment